Mahesabu ya Muungano

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
1 + 1 = 1.5

kwa maneno mengine:

tanganyika nchi kamili + zanzibar nchi kamili = tanzania nchi kamili . zanzibar nchi nusu.

Kwa kifupi muungano haujatulia kabisa, BOTH kimahesabu na kimaana ya muungano.
 
1 + 1 = 1.5

kwa maneno mengine:

tanganyika nchi kamili + zanzibar nchi kamili = tanzania nchi kamili . zanzibar nchi nusu.

Kwa kifupi muungano haujatulia kabisa, BOTH kimahesabu na kimaana ya muungano.
Mkuu.
Mimi mahesabu hamna kichwani.
Lakini observation ya miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar imeniacha hoi.

EAC ambayo imefufuliwa 1999 leo imejiongezea wanachama wawili, na wengine wako kwenye foleni.
Muungano wa TZ, hakuna hata nchi moja nyengine ambayo imetamani kujiunga na Muungano wetu.
Kwa nini hizi nchi nyengine zina-by pass Muungano wa kupigiwa mfano Afrika na duniani?
Sijui wanaogopa majina ya nchi na serikali zao kuyeyeuka kama ilivyoyeyuka Tangayika?Au wanaogopa kujiunga halafu kuambiwa "ninyi si nchi! kama walivyoambiwa Zanzibar... au ndio hawaufahamu kila wanapojaribu kuuelewa mfumo wake?

Kwa kweli mwishowe huishia kufikiri kuwa Muungano huu ulipewa umbo ambalo litawaogopesha nchi nyengine kutaka kujiunga nasi na hivyo kuubakisha kuwa ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tu katika muda wote wa uhai wake.

Hata EU, naona nchi nyingi zinaomba kujiunga....huu wetu, hata "habari bandugu?" hakuna anayeusalimia. Utafikiri si muungano.!!???

Some thing is fishy with this Muungano.
 
Back
Top Bottom