Kijana mwenye furaha akioa lazima ataacha/achika (talaka)

Inasemekana kuwa, kama ukiinjoi sana maisha yako ya ujana, basi hutakuwa na ndoa inayodumu, lazima utaacha au kuachika tu.

Wanaomudu ndoa zao ni wale ambao wakati wa ujana wao walikuwa hawana furaha na hawana self-esteem, hawajithamini sana. na ndio maana wanajing'ang'aniza kwenye mahusiano yasiyofanya kazi.

Source: Happy Teenhood Leads to Happy Adulthood … and Divorce? – TIME Healthland
Kumbe inasemekana, IT WORKS IN DIFFERENT WAYS so lets not get contradicted
 
Hizi copy and paste nyingine bwana!Kwahiyo wanaodumu kwenye ndoa ni wale ambao hawakua na furaha mwanzo na wasiojiamini??Labda ungesema wanaobaki kwenye ndoa za mateso ingeleta maana zaidi!Nwyz waliopo kwenye ndoa mtujuze...kinachowaweka ni low self-esteem?
 
Kuna watu wengine wana andika article kutokana na mambo yaliyo mkuta yeye na adhani watu wote dunia yamewakuta kama yeye, ukweli ni kwamba kila mwanadamu anakutana na changamoto tofauti katika maisha na hakuna suluhisho moja la changamoto hizo. Ndoa ni muunganiko wa furaha wa watu wawili walio pendana kwa dhati kutoka moyoni mwao. Ndoa haina uhusiano na maisha yako ya ujana kama yalikuwa ya raha au shida bali ni hisia za ndani za moyo wa mtu kwa mwenza wake ambazo hazijali utajiri au umasikini au mazingira ambayo ulioyopitia katika maisha bali ni moyo kuridhia uliye mpenda. Kunatofauti kubwa kati ya ujana na ndoa, ujana unaweza ukawa unatimiza haja zako za mwili na haina maana kwamba ndio kipindi cha furaha zaidi ya kipindi cha ndoa. Hivi ulishawahi kujiuliza ni furaha ya kiasi gani utakayoipata pale utakapo jiona una mke na watoto unaowapenda na watu wanakuheshimu wewe na familia yako? unapo rudi nyumbani watoto wanakuita baba baba baba, mke anakuita mume wangu mpenzi, usiku wakati wowote umemkumbatia mkeo unayempenda, ni furaha isiyo na kipimo. Ujana unawakati wake na furaha na thamani ya ndoa haiwezi kulinganishwa na kitu chochote.
 
umeifuata hiyo link ya source lakini au umekurupuka tu?

The researchers found that people who were happier and better adjusted in childhood were also more likely to report better social relationships, more work satisfaction, better mental health and more social activity in adulthood.
But one finding was a surprise. Happy teens, researchers found, were more likely to be divorced in adulthood than unhappy ones.
 
Back
Top Bottom