Hoja Za Kutaka Kupetezea Ishu Muhimu..CHADEMA msidanganyike! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja Za Kutaka Kupetezea Ishu Muhimu..CHADEMA msidanganyike!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Chifunanga, May 13, 2011.

 1. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Watanzania tuachwe kupelekeshwa kama mambumbumbu.

  Mi sidhani kama CHADEMA walitakiwa kujibu hii hoja ya mshahara wa Dr. Slaa....huyu Nape amefanya maksudi ili mpotezee ishu muhimu zinazohusu nchi yetu.

  Mshahara wa katibu wa CDM au wa katibu wa CCM, au mshahara wa rais sio tatizo kwa sasa....na utakuja kuwa tatizo tu, pale utakapokuwa ndio main source ya nchi kupoteza mapato yake.

  Turudini kwenye issue muhimu jamani:
  1. Kwa nini mafisadi wajitoe wenyewe kwenye vyeo, kwa nini wasitolewe?
  2. Vipi ile issue ya mgao wa umeme? au kwa sababu umepungua kidogo basi tunaipotezea mpaka mwakani?
  3. Vipi issue ya DOWANS
  4. Vipi mabomu ya Gongo La Mboto?....au nayo tunaipotezea mpaka sehemu nyingine ilipuke tena?

  Kuna mambo mengi sana, ambayo hatujayamaliza, tunaanza kudiscuss mishahara ya watu.
   
 2. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hata ile issue ya serikali kuwa imefilisika, ni sioni kama ni issue muhimu.

  Issue muhimu ni kwa nini TRA inakusanya kodi chini ya kiwango?

  Kwa nini mabilioni yanapoteapotea tu?.....kuna yale mabilioni ya kikwete, sijui yameishia wapi?
   
 3. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  :A S thumbs_up:
   
 4. p

  plawala JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa,lakini hayo yalishasemwa sana,hata sasa hivi chadema inaendelea kuyasema kwenye mikutano na wananchi, na yataendelea kusemwa,ilikuwa lazima kujibu hizo hoja kuweka mambo sawa
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kutokujibu issue ya magari na mshahara wa dr slaa ing'ekuwa Kosa kubwa sana
   
 6. h

  hoyce JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kujini ni sawa, kuna wajinga wengi, hata humu, wasiojua kutofautisha ufisadi na mshahara
   
Loading...