iPhone yako inarekodi kila sehemu unapoenda

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Kama ulinunua iPhone baada ya June 2010 (iPhone 4). Basi ujue imehifadhi sehemu zote ulizowahi kwenda tokea uiwashe.

Info yote hiyo imehifadhiwa kwenye faili linaloitwa consolidated.db ambalo lipo kwenye simu yako.

Ukitaka kuhakikisha, download program ya kumap kutoka hapa petewarden/iPhoneTracker @ GitHub halafu jaribu uone.

Haina ramani nzuri ya Tanzania, lakini unaweza kupata idea.

Sijui wale wazee wa TISS wanaitumia hii?....maana masharobaro wengi wana iPhone siku hizi.
 
makin tosh

Mkuu, Inkoskaz yuko sahihi. Kwanza nikurekebishe hapa, siyo makin tosh ni Macintosh.

Apple company ndilo lenye kutengeneza Computer za Macintosh, pia wanatengeneza iPad, iPod na iPhone. Wanatumia soft ware zao mbalimbali zikiwemo mac OS, iLife na iTune.

Sasa, iPhone 4 ni kweli ipo ktk iPhone series.
 
Mkuu hebu nipo dondoo za ziada kuhusu huo mtambo. Una uwezo gbmi hasa ukbwa wa memory card manake nahisi hapo hakuna kuweka za kichina. Vp bei yake ikoje hiyo. Plz nipe data manake imenihamasisha sana.
 
Mkuu, hebu ingia hapa www.apple.com/ . Halafu utaona product mbalimbali za apple, wewe ingia kwenye iphone na ujisomee.
 
Simu nyingi ziko hivyo hata iwe Samsung Sony Experia na nyinginezo,BlackBerry ndo usiseme.ukweli ni kwamba watengeneza simu huweza jua na kuona mahala tulipo na matukio yetu.ni jambo la kiupelelezi ndo mana inasadikika kwamba Osama ilifikia kipindi alikua anaepuka kukaa hata karibu na simu au kitu chochote cha kielectronic.maana MZUNGU ni akili kubwa
 
Mbona hata pale unapoweka gps on kwenye android yenye find my phone inakupa record ya sehem ulizoxunguka .
 
Back
Top Bottom