Nembo ya TISS na Ikulu

Status
Not open for further replies.

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Wadau,
Kuna mtu ana nembo ya TISS au ya Ikulu? Nimejaribu kusearch online lakini sijazipata.

Nafahamu kuna nembo ya CIA, FBI, The US president. Kuna nembo ya Jamhuri ya Muungano, hata Tanesco wana nembo, pia TRA, polisi, hata kiDowans nacho kina logo.

Nataka kubadilisha Avatar.

Tumia hii...ndio usalama wenyewe wa taifa letu

sheikh-yahyabc.jpg

Nimetafuta google nikapata hii.

Attachments

• TWISHENI.jpg
TWISHENI.jpg
116.9 KB · Views: 515
Nilipojaribu ku google nembo ya ikulu nikapata picha hii

Attachments

• 03_10_zx2ch0.jpg
03_10_zx2ch0.jpg
158 KB · Views: 462
Hahahahhahahhahahahaaaaaaaaaa..........ohhhh my goodness........... Camaraderie, i've got no words for you!!!!

Usicheke ukaishia hapo, tafakari naamini utalia!, huyo ndio anatoa usalama kwa mkulu na alishasema anaongeza ulinzi na yeyote ataempinga mkulu atakufa!, ulisikia mtu yeyote kukanusha kulindwa?, halafu wakati tumealikwa masheikh kula futali nae alikuwepo ati!

My dia hata sitaki kwenda huko kote kwenye kutafakari maana ni vitu vinavyoumiza na kuleta vidonda vya tumbo. Ati mtu analindwa na majini...........WHAT A SHAME!!!!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom