Search results

  1. Benjamini Netanyahu

    Mbinu zinazotumika kutafuna fedha za umma na vigogo serikalini

    Dar/Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwa na imani na Serikali katika mageuzi ndani ya mashirika na taasisi za umma, akiwaonya mawaziri wanaoyatumia kujinufaisha. Amesema inasikitisha kuona mashirika ya umma katika mataifa mengine duniani yakiongeza tija na mchango kwenye...
  2. Benjamini Netanyahu

    MJADALA HURU: Nini kimeshusha Maadili kwa Viongozi wa Kuteuliwa?

    Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada. Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana...
  3. Benjamini Netanyahu

    UDOM iitwe Jakaya Kikwete University

    Natoa pekendekezo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kiitwe Jakaya Kikwete University sababu ni miongoni wa chuo kikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki. Hii ni heshima kubwa kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga Chuo Kikuu kikubwa na kupanua elimu hapa nchini, pia tusisubiri mtu...
  4. Benjamini Netanyahu

    Jaji Warioba haonekani sherehe za kitaifa na chama, haalikwi au hapendi kuhudhuria?

    Kwanini sherehe nyingi za kitaifa Jaji Warioba huwa haonekani? Je, huwa haalikwi, hapendi kuhudhuria au ameamua kuishi kama raia wa kawaida? Wastaafu wenzake akina Lowassa, Sumaye, Pinda na wengine huwa hawakosekani kwenye sherehe za kitaifa/kichama.
  5. Benjamini Netanyahu

    Babu Seya na wanae waibukia Mapinduzi ya Zanzibar

    Familia ya mwanamuziki Nguza Vicking 'Babu Seya' imeungana na Wazanzibari kwa ajili ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Maadhimisho hayo yaliyafanyika jana Ijumaa katika Uwanja wa Amaan Zanzibar yakihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa akiwamo Rais wa...
  6. Benjamini Netanyahu

    Chadema saidieni hili jambo kama linaukweli.

    Halima Mdee 10 mins · NAOMBA KABLA YA KUCHUKUA MKOPO TUSOME MAELEZO NA VIGEZO VYA MKOPO VIZURIMaelezo na vigezo vya mkopo vinasema,Mikopo inatolewa kulingana na akiba ya Mwanachama atakayo weka, akiba yamwanachama atakayoweka itazidishwa mara kumi na kupata kiwango cha mkopo atakacho kopeshwa...
  7. Benjamini Netanyahu

    Sheikh Mkuu wa Tanzania ataka viongozi wa dini waheshimiwe

    Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zuberi, ametaka viongozi wa dini nchini kuheshimiwa na jamii ikiwemo kutekelezewa mahitaji yao ya msingi ili waweze kujikimu kimaisha. Akizungumza na waumini wa dini hiyo Jumamosi Januari 6 katika mhadhara wa Maulidi uliofanyika katika kata ya Mazingara...
  8. Benjamini Netanyahu

    ASKARI POLISI AJINYONGA KWA CHANDARUA MWANZA

    Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Kituo cha Nansio wilayani Ukerewe, John Kalongola amejinyonga kwa kipande cha chandarua nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mwili wa askari huyo umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe. Amesema baada ya uchunguzi na...
  9. Benjamini Netanyahu

    WAZIRI MKUU APULIZA JIPU UPOTEVU MALI ZA SHIRECU NA NYANZA...AAGIZA VIGOGO 19 KUJIELEZA,MAJINA YOTE HAYA HAPA

    Aliwataja viongozi waliohusika na upotevu huo ambao wanatakiwa kutoa maelezo yao kuwa ni Murtazar Alloo ambaye ni mnunuzi wa maghala matatu mali ya NCU, Bw. Samson Ng’halida (mnunuzi wa New Era Oil Mills), Bw. Amos Njite Lili (mnunuzi wa ghala la Igogo), Bi. Antonia Zacharia (mnunuzi wa jengo la...
  10. Benjamini Netanyahu

    Rais Mnangagwa wa Zimbabwe akataa nyimbo za kumsifu na kumtukuza

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametaka wanachama wa Chama cha Zanu-PF kuachana na nyimbo za kumsifu na kumtukuza. Amewataka watilie mkazo wimbo wa Taifa na nyingine zinazozungumzia ukombozi. Mnangagwa amesema hayo katika mkutano wa chama hicho uliomvua uongozi rasmi aliyekuwa kiongozi...
  11. Benjamini Netanyahu

    Madabida na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefanikiwa kupata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ni baada ya Wakili wa Serikali, Shedrack Kimaro kuwasilisha cheti kutoka Kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambapo kimeipa mamlaka mahakama...
  12. Benjamini Netanyahu

    Polisi wampotezea mzee wa 900 itapendeza 'dk shika'

    by Malunde 14 hrs ago Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu yaDar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kesi ya Dk Louis Shika hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba tatu za mfanyabiashara maarufu Said Lugumi alizoahidi kuzinunua zote zipo. Novemba 9, 2017 kampuni ya udalali ya Yono kwa niaba ya...
  13. Benjamini Netanyahu

    Prof. Lipumba asema hakutarajia dkt Slaa kuteuliwa kuwa balozi

    Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amezungumzia uteuzi wa Dk Wilbroad Slaa kuwa balozi akisema hakutarajia. Rais John Magufuli juzi alimteua Dk Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chadema kabla ya kukihama chama hicho wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Wakati wa...
  14. Benjamini Netanyahu

    Katavi: Diwani wa kata ya Katumba Seneta Baraka (CCM), ahukumiwa kwenda jela miaka Mitatu

    Mahakama ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela diwani wa kata ya Katumba (CCM) wilayani humo, Seneta Jeris Baraka (32) baada ya kupatikana na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh500,000/- Akisoma hukumu hiyo jana, hakimu wa mahakama hiyo , Tetimus Swai...
  15. Benjamini Netanyahu

    Spika Ndugai ameiandikia NEC kuwa jimbo la Singida Kaskazini liko wazi

    Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Job Ndugai ametangaza kuwa jimbo la Singida Kaskazini lililokuwa likishilikiwa na Lazaro Nyalandu liko wazi baada ya mbunge huyo kufutwa uanachama na CCM. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa na Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa Spika Ndugai amemuandikia Mwenyekiti wa Tume...
  16. Benjamini Netanyahu

    Nape Nnauye apigilia msumari suala la kuongeza miaka ya uongozi

    Mbunge wa jimbo la Mtama, Mh Nape Nnauye amepigilia msumari kauli iliyotolewa na Spika wa zamani wa Bunge , Pius Msekwa kuhusu miaka ya uongozi na kusema misimamo hiyo ndiyo misimamo ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwalimu Julius Nyerere. Nape Nnauye ameweka video ya Pius Msekwa akielezea juu...
Back
Top Bottom