UDOM iitwe Jakaya Kikwete University

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
80,710
93,455
Natoa pekendekezo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kiitwe Jakaya Kikwete University sababu ni miongoni wa chuo kikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki. Hii ni heshima kubwa kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga Chuo Kikuu kikubwa na kupanua elimu hapa nchini, pia tusisubiri mtu aondoke ndiyo tuanze kusifia tumpe haki yake akiwa hai.

Naomba kuwasilisha.
 
Una uhakika Jakaya Kikwete ndiye aliyekijenga? au ndiye aliyekipanua na kuongezea eneo pia na majengo kwanini kuna Hospital ya Ben Mkapa.

Chuo cha zamani sana, kimeanza na Jengo moja, sikatai lakini ongeza sababu, isije ikawa kama huko Ulaya, Marekani, na hata Malawi wanaangusha masanamu, majina ya mitaa nk, kisa hawakujipanga
 
Acha mambo yenu, Hivyo vitu walivyojenga siyo vyao binafsi, ni kodi za wananchi, hawako entitled kupewa majina

Ila uwanja wa mpira wa Taifa kwa heshima maalum ya mzee BWM aliyetangulia mbele ya haki, hilo naunga mkono uwanja uitwe jina lake kwa sababu katutoka.

Japo natambua, JK alijenga hospitali kubwa ndani ya UDOM na kuipa jina la Benjamin William Mkapa mwaka 2015,

lakini siyo busara kila kitu kipewe jina la watawala
 
Subiri siku ikifika tutakutana uwanja wa mpira Taifa na kutoa hili ombi kwa sasa bado
 
Acha mambo yenu, Hivyo vitu walivyojenga siyo vyao binafsi, ni kodi za wananchi, hawako entitled kupewa majina

Ila uwanja wa mpira wa Taifa kwa heshima maalum ya mzee BWM aliyetangulia mbele ya haki, hilo naunga mkono uwanja uitwe jina lake kwa sababu katutoka.

Japo natambua, JK alijenga hospitali kubwa ndani ya UDOM na kuipa jina la Benjamin William Mkapa mwaka 2015,

lakini siyo busara kila kitu kipewe jina la watawala
Mkuu chuo hicho ni kati ya vyuo bora kabisa, hivyo ni heshima kumpa JK
 
Una uhakika Jakaya Kikwete ndiye aliyekijenga? au ndiye aliyekipanua na kuongezea eneo pia na majengo kwanini kuna Hospital ya Ben Mkapa.

Chuo cha zamani sana, kimeanza na Jengo moja, sikatai lakini ongeza sababu, isije ikawa kama huko Ulaya, Marekani, na hata Malawi wanaangusha masanamu, majina ya mitaa nk, kisa hawakujipanga
Mkuu chuo kilijengwa wakati wa utawala wake, ni heshima ambayo tunatakiwa kumpa JK
 
Natoa pekendekezo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kiitwe Jakaya Kikwete University sababu ni miongoni wa chuo kikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki. Hii ni heshima kubwa kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga Chuo Kikuu kikubwa na kupanua elimu hapa nchini, pia tusisubiri mtu aondoke ndiyo tuanze kusifia tumpe haki yake akiwa hai.

Naomba kuwasilisha.
Hata Daraja la Kigamboni linatakiwa kuitwa Jakaya Kikwete Bridge.
Haikua sahihi kuliita nyerere hana mahisiano naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kiongozi kafanya kazi nzuri apewe pongezi akiwa hai, si baada ya kuaga dunia ndio muanze kubadilisha majina ya taasisi alizosianzisha
 
Back
Top Bottom