Search results

  1. M

    Mpaka sasa ni 3-0

    Simba 3 - Africa Lyon 0
  2. M

    Obama bila pete ,kasheshe???

    Rais Obama,ameonekana bila pete ya ndoa,imekuwa kasheshe,wakati sie huku Tz President anavaa mipete kibao,mpaka cheni ,au saa mbili.kama Rais aliyepita Mkapa na bila pete ya ndoa.wala inakuwa sio hoja,kwa jinsi tulivyo wadanganyika sie watanganyika,loooh??? Jamani hebu tuchanjie kwa hii.mie...
  3. M

    Elections 2010 Mambo ni magumu - CCM Dodoma

    Habari nimerushiwa kuwa ndani ya kikao cha Halmashauri kuu ya CCM ,kinachoendelea akutoshi kati ya makundi ya waliotangaza nia ya Uraisi zenji na mafisadi wa bara. Ebu leteni data mlio karibu na ukumbi kwani mwaka huu tutaona mengi sana,hata bungeni leo ni kutupu kabisa?? loo Tanzania,Tanzania...
  4. M

    Basi linakodishwa. Socra group

    Basi aina ya Isuzu uwezo wa kubeba abiria 40,bila matatizo.lipo sokono kwa ajili ya kukodishwa kwa Ofisi,shule , sherehe kama harusi, nk au taasisi yoyote inayotambulika kwa hapahapa Dar es salaam (city limit) . Bei ni TSH 150,000= kwa siku yaani mpaka saa 3 usiku.malipo ni kwa mwezi mmoja moja...
  5. M

    Kutanganza nia?

    NIMEKUWA NIKISIKLIZA BUNGE LA TANZANIA,KWELI NI KICHEFUCHEFU KILA MBUNGE ANAYECHANGIA LAZIMA ATANGAZE NIA Utasikia nami natangaza nia.SASA SIE TUSIO WABUNGE NIA TUTANGAZA WAPI? MSINGI NI KUCHANGIA HOJA ZA MSINGI NDANI YA BUNGE,NA SIO KILA ACHANGIAE OHOO NATANGAZA NIA,WENGINE WASIO NA HAYA MPAKA...
  6. M

    Mizengo Pinda aenda kutibiwa UK

    Tumesikia kwamba mh. Pinda -Waziri mkuu wa Tz,kaondoka leo kwenda kutibiwa UK kwa wiki moja. Nadhani ziara ndefu na wingi wa kazi umemchosha sana,kwani hata mwendo miguu inaonekana sio sahihi kabisa,kwani asitibiwe Muhimbili tu.Wanadai kaenda na mkewe tu,kitu ambacho sio rahisi laziza wasaidizi...
  7. M

    Tamasha kubwa la Zinduka leo-Leaders

    Nimepata taarifa kuwa leo kuna tamasha kubwa sana la kampeni ya Zinduka kutokomeza Malaria.Na mkul uJMK atakuwa ndani ya nyumba,pa moja na burudani mbalimbali.Kweli kwani kwa sasa malaria ni ugonjwa hatari kulingana na Ukimwi,TB. Hima wananchi hima tujitokeza kuzindua kampeni hii.
  8. M

    Jamani mbona wahamihaji haramu ni wengi Sana Tz??

    Jamani,naomba wana JF tulijadili hili kwani kwangu imekuwa kero sana,yaani hata kazi za kuoika chai,karani,kufagia wapewe wahamihaji harum ,ambao wengi sana wanatokea Kenya.Naomba Idara ya Uhamihaji ifanye kazi ipasavyo,ndio hao sasa wanaongaika sana hili wapate hati ya kupigia kura kama raia...
  9. M

    NMB bank, mbona mko slow?

    Jamani biashara ni mashindano na huduma bora,nimefuatilia ufunguaji wa current akaunti,kwa muda wa miezi miwili sasa ,kila nikienda bado tunashughulikia-jamani kuweni makini biashara ngumu. Documents zote zipo tatizo ni nini?wadau naomba maoni yenu. msumbuliwa wa njoo kesho na Nmb Bank- benki...
  10. M

    IPP Media yaisusia Simba Sports Club

    Kweli wenye visa watu,Kampuni ya IPP Media amepiga stop habari zozote zinazohusu klabu ambayo kwa sasa ni gumzo hapa Afrika mashariki na kati kwa ushindi mfululizo. Kwa mfano ushindi wa simba dhidi ya Prison haujatangazwa kabisa, zaidi ya kurukia mechi ya kesho kati ya Yanga na Manyema Fc...
  11. M

    Pinda atimua watumishi Bagamoyo

    Habari tulizozipata muda mfupi ni kwamba maofisa sita wa Halmashauri ya wilaya Bagamoyo wametimuliwa kazi na WAZIRI MKUU Mh. Pinda leo hii kwa kosa la ubadhirifu wa mali ya umma, na kutojali kero za wananchi. Wadau mnasemaje katika hili? Maana huko ndio kwa Mh. RAIS JMK. Wapo wengi sana wa...
  12. M

    Arsenal 2- Liver 1

    habari ndio hiyo mpira umekwisha ,tunalala na sherehe maana kelele zilikuwa nyingi sana -Asharvin.
  13. M

    Makongoro apata mpinzani Ukonga

    KIjana mchapakazi J.Jambele amaetangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Ukonga kwa tiketi ya CCM.anamini katika siasa ya Ujamaa na kujitegemea na sio ubinafsi. Kipeekee namfahamu kijana huyu kama mpiganaji makini sana katika nyanja mbalimbali yupo kwenye mpira,muziki nk. Hima wana jimbo...
  14. M

    Sport extra na Maximo

    Nadhani sasa Maximo awezi kubaki kwa kuna kura imeanzishwa kupinga kuwepo kwake na sport extra ya clouds- kuanzia jana saa 3 usiku. Piga kura mdau wa mpira wa bongo kwenda no 15551,kwa kuandika neno Maximo - Hafai/hanafaa. hima wadau tumtoe kocha huyu mbovu katika karne hii. mwanangu.
  15. M

    SIMBA na Azam

    Kesho wadau njooni muangalie soka la uhakika kati ya timu hizi mbili mahiri kwa sasa. hope simba wataendeleza kidedea. shabiki wa kweli.
  16. M

    Waziri Mwangunga anasulubiwa! Live toka Bungeni

    Wana JF, kwa sasa wazizi wa uatali Shamsa Mwangunga anajieleza bungeni baada ya mbungu wa Loliondo kuwasilisha hoja yake ya unyanyanyasaji wa wafugaji kule Loliondo - kweli anapumulia mashine kwani yupo out off kabisa anaomba muda uishe ili bunge liaoirishwe. Mbunge wa wa Loliondo ana hoja 14...
  17. M

    Updates uchaguzi serikali za mitaa - mtaani kwetu

    Wakuu tupeane updates Mie nimetoka kupiga kura lakini,nimeshindwa utaratibu ni mbaya kupita kiasi. Oroadha ya majina ya wapiga kura ambayo ilibandikwa jana imelowa yote na mvua ya jana-mpaka sasa zoezi zima la kupiga kura bado alijaanza-na kwa maaantiki hii watu wengi sana awatapiga kura leo...
  18. M

    Wahamiaji haramu -Tanzania

    Hii ni kero yangu,naomba wahusika wahifuatilie.Wapo Wakenya,wamalawi ,wachina wengi sana hapa Dar,wakifanya kazi bila kuwa na permit yoyote zaidi ya kuwa na line ya safaricom na vodacom ili kuwasiliana na ndugu zao huko makwao. Waziri Masha futilia jambo hili.taarifa tunapeleka ofisi ya...
  19. M

    Taratibu za kufanya kazi bila kibali TANZANIA.

    Nimeleta kama tangazo ,lakini ni kero ambayo,mimi mtanzania mzalendo ninayo-mbona kuna wahamiahaji haramu wengi sana hapa Tanzania,tofauti na majirani zetu k.m Kenya,DRC nk.Wapo tu na wanafanya kazi bila kuwa na vibali,ukitoa taarifa uhamihaji wanakamatwa lakini baada ya siku 2 ,wnanarudi tena...
  20. M

    Taratibu za kusajili daladala dar?

    Naomba nisaidiwe hili ,nijue taratibu kabla sijaagiza?
Back
Top Bottom