SIMBA na Azam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIMBA na Azam

Discussion in 'Sports' started by Mayolela, Nov 6, 2009.

 1. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kesho wadau njooni muangalie soka la uhakika kati ya timu hizi mbili mahiri kwa sasa.
  hope simba wataendeleza kidedea.

  shabiki wa kweli.
   
 2. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pambano litafanyika uwanja wa uhuru aka sahamba la bibi. saa 10 jioni.
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kitimtim patachimbika Azam wanakuja kwa kazi ila spidi ya scud sijui kama wataiweza airforce1
   
 4. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Hayo ni majigambo tu ya wabongo tulio zoea kcheza mech kwenye nyungo za mabibi/mababu zetu, ila wanaojua mpira hufanyamazoezi ya ukweli na mpira wa kufurahisha, kuburudisha unaonekana,
   
 5. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ligi gani tena? Mzunguko wa kwanza wa Vodacom PL umeisha? Mbona Simba vs Mtibwa bado? Au mechi ya maveterani wa Simba na Azam?
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Usiwe na imani potofu mkuu! Hili halina uchawi!!! We neda kaangalie mechi jinsi gozi linvyorindima kwenye ground
   
 7. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,163
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Ndo tabu ya kudandia gari kwa mbele:confused::rolleyes:
   
 8. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni vibaya kuuliza? Kwa kuwa sijaelewa, je, ni busara niendelee kukaa kimya eti kwa kuogopa kudandia gari? Ni nani mwenye gari basi humu JF ili tuwe tunaweka oda ya lift mapema? Mambo mangapi tulikuwa hatuyajui kabla ya kujiunga humu?
   
 9. M

  Matarese JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Simba ilishacheza na Azam raundi ya kwanza na Simba walishinda 1-0. Raundi hii Simba bado na Mtibwa tu! labda kama ni kombe la mbuzi au maveterani. Hata hivyo, wachezaji mbona wengi bado wapo Misri? Nahisi wewe umejichanganya!
  BTY, kwa mpira ule wa stars Misri jana, naona mnajifariki tu kuwa "soka la uhakika", vipofu wanapokutana!
   
 10. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hizi siasa zimetuathiri sana! Mie akili yangu ilikwenda moja-moja kwingine: yaani Sophia Simba na Azan Zungu kwamba mgogoro wao umezuka tena!

  Problem true true!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tunaomba matokeo..
   
 12. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mechi ya kirafiki bwana- itachezwa kesho na sio leo kama hapo awali.
  kwaio njooni kesho muone kandanda safiii- baridiii???
   
 13. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole wee,siasa ni michezo.
   
 14. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  matokeo ni 1-1 lakini mpira kiwango plus plus.
   
Loading...