Makongoro apata mpinzani Ukonga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro apata mpinzani Ukonga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mayolela, Nov 11, 2009.

 1. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KIjana mchapakazi J.Jambele amaetangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Ukonga kwa tiketi ya CCM.anamini katika siasa ya Ujamaa na kujitegemea na sio ubinafsi.
  Kipeekee namfahamu kijana huyu kama mpiganaji makini sana katika nyanja mbalimbali yupo kwenye mpira,muziki nk.
  Hima wana jimbo la Ukonga tusimuangushe kijana huyu,kwani kila mwanachana ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
  Jimbo la Ukonga limekuwa nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na majimbo yote hapa Dar.Sababu kubwa ni ubinafsi wa mh huyu.ambae ni mpenda starehe sana kila mara anaonekana pale Rufita club segerea tena usiku mbaya sana,akiwa na vidosho.Sidahi kama anatufaa kuongoza tena.
  mdau. buguruni ghana.(ambako ujafika toka tukupe ubunge).
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hizi ndio criteria mnazoweka za kupata mwakilishi ? lolz..ndo maana umaskini unatung'ang'ania.
   
 3. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hiyo signature yako unaimanisha 'ignored list' au just ignore list?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  HIzo ndio sifa za potential leaders... muziki. mpira etc. and then we expect kuondokana na ujinga, maradhi na umaskini!!!
   
 5. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu aliwahi kuleta post humu kwamba John Mashaka naye atawania Ukonga, sasa sielewi iliishia vipi ile. Hao wote ni wa chama kimoja, ningependa nione na wa vyama vingine nao wanajinadi mapema kuongeza changamoto. Anyway, tusubiri kitakachofuata, ila mimi nilishasema msinisahau kwenye kampeni, nipo kwenye jimbo hilo pia na nitaangalia mgombea kwanza then chama chake!
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  what do you think?
   
 7. 911

  911 Platinum Member

  #7
  Nov 11, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Nimeipenda hiyo'kwa tiketi ya CCM..'.Well,anaweza akawa mpiganaji mpambanaji whatever.Ila ndani ya hicho chama kweli ataweza kuleta mabadiliko ni/tunayoyataka??NEC ni ileile,CC ni ileile so yeye atakuwa jus a cog in a big machine.Wenye tuhuma za wazi za ufisadi wamejaa huko,nae anaenda hukohuko...Wengine watauliza,sasa ajiunge chama gani??Such a shortsighted qn!!Y keep on thinking about something readymade?Kama vilivyopo ni vibovu basi watoke huko na kuanzisha chao,maana kuwafukuza mafisadi wameshindwa hata la kujiengua nalo limekuwa gumu hivyo??Mimi siamini,wanajua kuna maslahi fulani ukiwa chini ya mwamvuli wa chama cha kijani.
   
Loading...