Kutanganza nia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutanganza nia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mayolela, Jun 26, 2010.

 1. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2010
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NIMEKUWA NIKISIKLIZA BUNGE LA TANZANIA,KWELI NI KICHEFUCHEFU KILA MBUNGE ANAYECHANGIA LAZIMA ATANGAZE NIA Utasikia nami natangaza nia.SASA SIE TUSIO WABUNGE NIA TUTANGAZA WAPI?
  MSINGI NI KUCHANGIA HOJA ZA MSINGI NDANI YA BUNGE,NA SIO KILA ACHANGIAE OHOO NATANGAZA NIA,WENGINE WASIO NA HAYA MPAKA UTAJA WALE WANAOWAFIKIRIA KUWA NAO WATAGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO FULANI.tukumbuke kila mwanachama hana haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
  SASA BASI NA MIMI NATANGAZA NIA,HUKO KYELA KWA MH. MWAKYEMBE HARRISSON.
  NAONA HII INATOSHA MIE KUTANGAZA NIA YANGU YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI UJAO 2010 OKTOBA.
  KAMA LEO KILA ACHANGIAE HOJA ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI NA ULINZI SUALA KUU NI KUTANGAZA NIAA????JAMANI CHEO NI DHAMANA SIO LAZIMA MRUDI TENA HATA KAMA MMEFANYA MADUDU KATIKA MAJIMBO YENU.NDIO MAANA HATA BUNGE LA SASA HALINA WABUNGE WENGI WAHUDHURIAJI KWANI WENGI WOKA BUSY NA KAMPENI BUBU ,BAADA YA KUTANGAZA NIA.
  NAPENDA KUTOA HOJA NA KUTANGAZA NIA KWA DHATI.

  Mdau wa Lusungo Ipinda KYELA.
   
Loading...