Wahamiaji haramu -Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahamiaji haramu -Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mayolela, Oct 2, 2009.

 1. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni kero yangu,naomba wahusika wahifuatilie.Wapo Wakenya,wamalawi ,wachina wengi sana hapa Dar,wakifanya kazi bila kuwa na permit yoyote zaidi ya kuwa na line ya safaricom na vodacom ili kuwasiliana na ndugu zao huko makwao.
  Waziri Masha futilia jambo hili.taarifa tunapeleka ofisi ya Uhamiaji makao makuu ,hata ofisi ya mkoa opp. na shoprite lakini baada ya siku 2 watuhumiwa uwachiwa baada ya kutoa mlungula mzito.
  Hebu watoe taarifa ya wageni waliopo nchini na wanafanya kazi bila vibali.
  Waondoeni hii ni nchi yetu -warudi kwao,tena basi ni watu wenye roho tofauti na sie watanzania.
  Naomba niwasilishe.
   
 2. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ni aibu kubwa sana kuona watanzania tumesahau utu na utanzania wetu ambao mwalimu aliujenga kwa kupiga vita vitu kama rushwa na leo hii tunauharibu kwa kukumbatia rushwa.Hili soma la kuwa rushwa ni adui wa haki na maendeleo naona bado halijaeleweka.
  Tunatakiwa tujichunguze ni wapi tumetoka,tulipo na ni wapi tunaeleke?
   
Loading...