Search results

  1. Mathayo Christopher

    Niulize chochote kuhusu zao la nyanya nitakujibu kama mkulima

    Niulize chochote kuhusu zao la nyanya nitakujibu kama mkulima.
  2. Mathayo Christopher

    Mtaji mdogo huleta udhia

    June 2021 nilianza kulima nyanya kwa kununua mbegu ya kipato f1 gm 2 kwa 20000/=,linkmil 1.5kg kwa 30000/=.DAP 5kg kwa 10000/=, foliar fertilizer 1kg kwa 5000/=, duduacelemectine 1ltr kwa 20000/=. CAN 25kg kwa 25000/= vingine kama eneo, kamba na mianzi sikugharamia chochote nikapata output yote...
  3. Mathayo Christopher

    Kigezo cha ajira kwa waalimu iwe GPA

    Kwako mheshimiwa waziri wa OR-TAMISEMI napenda wizara yako itambue kuwa mfumo wa waalimu Tanzania wanaandaliwa kwa mitihani na kufaulu kwa Madaraja tofauti hivyo wizara yako kupendekeza kigezo cha kujitolea kama kipaumbele cha kuajiri hamtatenda khaki kwa waliotuma maombi. Mosi,uongozi awamu...
  4. Mathayo Christopher

    Mtazamo wangu kuhusu elimu yetu

    Kwa miaka mingi sasa tumeacha wanasiasa wakijadili mitazamo mbalimbali ya mustakabali wa elimu yetu hasa wakiangalia output ilioko mtaani bila ajira. Haya ni maoni yangu ya nini kifanyike. Mosi - Kwa wanaohisi mtaala wetu una mapungufu mengi sikubaliani nao changamoto kubwa katika elimu yetu...
  5. Mathayo Christopher

    Wanasiasa mnaohama kumbukeni kuheshimu fadhila mlizotendewa

    Salamu kwa wote mnaorudi CCM .nawakumbusha mnapaswa kukumbuka wengi mlikatwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM .baada ya hapo mkajiunga na vyama vya upinzani mkapewa nafasi bila kinyongo mkanadiwa mkachaguliwa mkaingia bungeni na katika baraza za madiwani hivyo hamna budi kutoa shukrani kwa...
  6. Mathayo Christopher

    Kwanini ajira za Serikali zisiwe kwa miaka 10 tu?

    Nimekuwa nikitafakari njia mbadala kwa ajira za vijana wanaohitimu vyuo mbalimbali kuanzia vile vya vyeti, astashahada na shahada ni wakati muafaka wa kuachana na mfumo wa sasa wa serikali kuandaa mswada wa ukomo wa utumishi wa umma wa miaka 10 baada ya hapo mtumishi anajiajiri maana miaka 10...
  7. Mathayo Christopher

    Kwanini wanaojiuzulu hawaitishi mkutano wa hadhara katika majimbo?

    Kwa mujibu wa demokrasia ni mamlaka ya watu kuunda serikali hivyo kama raia unaomba uongozi ni lazima uwaombe wananchi was eneo husika wakuchague kinachonishangaza ni kwa nini waliojiuzulu hawakwenda katika majimbo yao kuwaambia wapiga Kura sababu za kujiuzulu kama walivyowanyenyekea ili wapewe...
  8. Mathayo Christopher

    Maisha baada ya chuo: Nimeamua kuwa mfugaji naomba ushauri namna ya kumnenepesha nguruwe

    Nimeamua kujihusisha na masuala ya ufugaji baada ya kukosa matumaini ya kuajiriwa nilianza na kuku wa kienyeji 8 mwaka jana mwezi wa tisa sasa wapo 52.pia mwezi wa nne tarehe moja nimenunua Nguruwe sasa naomba ushauri jinsi nitakavyomnenepesha ili anipe tija japo natamani niongeze 2 ili wawe...
  9. Mathayo Christopher

    Natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha

    Natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha secondary kwa kusaini mkataba .Elimu yangu ni Bachelor ya Elimu.nafundisha Geography ana history ni mzoefu wa kufundisha kwa miaka 2 sasa.nawasilisha
  10. Mathayo Christopher

    Natafuta shule ya kufundisha

    Naomba kwa yeyote mwenye shule ya secondary ya private aniajiri kwa mkataba wa miaka 2 au 3 .ni mhitimu wa shahada ya elimu .nafundisha geography na history.kwa mawasiliano ni PM .
  11. Mathayo Christopher

    Naomba ushauri: Dini inavuruga uhusiano wetu

    Jamani kuna binti tulikubaliana kuja kuishi mke na mume sasa pingamizi kubwa ni dini yeye ni muislamu. Naomba ushauri nifanye nini katika hali hii.
  12. Mathayo Christopher

    KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Ikiwa leo ni siku ya 89 tangu serikali ya Rais Magufuli isitishe ajira 13 Juni 2016 na rais kawaahidi vijana haitazidi miezi miwili na uhalisia kesho tunamaliza miezi mitatu toka zuio la ajira lilipotolewa Hii imezua sintofahamu ya nini hatima ya vijana hawa ambao wamekaa zaidi ya mwaka mmoja...
  13. Mathayo Christopher

    Ahadi hewa ya ajira

    Kwa masikitiko makubwa naomba ujumbe huu umfikie mkuu wangu wa kaya.kama 13/06/2016 ulisitisha ajira na baadaye 22/06/2016 uliahidi haitazidi miezi miwili.sasa nakukumbusha tunamalizia mwezi wa tatu toka uagize.JE KATIKA hili Huoni kama umetuumiza kisaikolojia na tumekosa taarifa muhimu maana...
  14. Mathayo Christopher

    Namkumbusha tu his excellency

    Kutokana na ukakasi wa kauli za serikali.napenda kuwakumbusha wahusika kuwa tumeishi kwa ahadi hewa kwa mda mrefu sasa toka sitisho la ajira litoke zimebaki siku 14 ziishe miezi miwili kama hamtuajiri ni bora mtuweke wazi maana mpaka sasa deni la milioni 12 la bodi linaniumiza kichwa ili hali...
  15. Mathayo Christopher

    Waliofukuzwa UDOM wapelekwe JKT

    Napendekeza wale wanafunzi kwa vile walichaguliwa kisiasa na kuepusha dhana ya waalimu wa tanzania kimbilio la waliofeli basi ningeshauri wapelekwe J.K.T .au VETA hakuna namna tusihalalishe vitu maana kesho mtaanza kuwapondea wakiharibu elimu yetu.
  16. Mathayo Christopher

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki. Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
  17. Mathayo Christopher

    Msaada wa notes za survey kwa form six

    Naomba kwa yeyote mwenye notes za topic ya survey za advance (geography) anitumie kupitia email yangu nakmrima@gmail.com
  18. Mathayo Christopher

    Maajabu ya wanawake

    Kuna binti mmoja 24 yrs nimemtolea kishika uchumba kwao sasa pasaka nikammwambia sina kitu yeye kanijibu tusijuane tena sasa cha ajabu juzi alhamisi ananisumbua kwa meseji kuomba radhi ilihali nimepata msambwenda mwingine alijiona lulu sasa anajuta
  19. Mathayo Christopher

    Kwa haya niliyokutana nayo sina sababu ya kuposa au kuoa

    Ndugu wanaJF nikiwa katika harakati za kutafuta mchumba katika mkoa wangu wa Mtwara nimebahatika kukutana na mabinti 4 lakini wote tumeshindwana yaani wawili ni tofauti za dini mimi mkristo na wao waislamu na mmoja hataki mimi nimuingilie kukagua simu yake hadi kaniomba tuachane na wa mwisho...
  20. Mathayo Christopher

    Ushauri kwa UKAWA mkoa wa Mtwara

    Kutokana na mgongano wa wagombea wa vyama vilivyopo chini ya mwamvuli wa UKAWA Nashauri kwa hali iliyopo waache kama ilivyo wasiwasitishe wagombea kufanya kampeni kwa kufuata mgawanyo wa majimbo kwa kuwa wapo wagombea hawana hela kabisa na wameshindwa kufanya mikutano hata mitatu ndani ya jimbo...
Back
Top Bottom