Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Mathayo Christopher

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
410
283
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.

Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
 
Na hata zikitoka hutokaa uendelee manake utapangiwa kijijini utakosa plan b na utabaki kusubiri mshahara kwa mwisho wa mwezi. Hii ni baada ya kugundua umeshindwa kujishughulisha na kitu chochote na kusubiri ajira ambayo kimsingi itakufanya masikini miaka nenda rudi
 
Dah! mapema mwaka huu? Hiv mhJafo anafaham maana ya mapema? Afu watu wengine wanapenda sifa eti mlitumia vibaya boom, hivi unajua watu wote wanapata asalimia mia? Je, unajua kuwa kuja kupata boom unakuwa una madeni lukuki, na baada ya boom la kwanza kwa linalofuatia hucheleweshwa sana hadi mipango ya bajeti kuvurugika? Unaposema mtu ajiajiri, mwalimu atajiajiri wapi? Serikali iache ukiritimba huu, mtu anakaa mtaani mwaka mzima ili hali kuna upungufu mkubwa wa walimu nchini pamoja na mrundikano wa wanafubnzi hasa baada ya elimu bure, visingizio vya hakuna pesa siyo vya msingi, serikali inakusanya mapato yake hadi kuvuka malengo kwa sasa, na ikumbukwa ajira za walimu mwaka huu ni kwa bajeti inayoisha muda wake yaani 2015/16 na si 2016/17 kama baadhi yetu tunavyopotosha. Hivi unahangaika na madawati wanafunzi wakakae tu darasani bila walimu? Mtu anayeleta dhihaka na kejeli asidhan anamkomoa mtoa mada bali halitakii mema taifa, mwalimu ndo anamuandaa mtaalam wa kufanya kazi viwandani hapo baadae, leo unategemea matokeo mazuri ili hali mwalimu 1 anafundisha wanafunzi 200 na kuendelea tofauti na idadi halisi ya wanafunzi 45, serikali inadai nchi haina walimu wa sayansi, leo unawakalisha mwaka mzima utadhani hjamna uhitaji. Where are we going as a nation?
 
Kuyavulia maj co lazma uoge waweza vaa nguo na kutoka bafun, kukubali kuolewa co lazma mke alale uchi, anaweza kulala na nguo......................... Af nimesahau uzi unahusu nn ila kuna jamaa yang kaamua kujiunga na jeshi nae alkua anasubir ajira, kuna mwingine ni dereva bajaj na sasa ana kiwanja na anajiandaa kuanza ujenz cjawah kumckia akiulzia ajira,nasema we vumilia subiri hyo ajira maana walimu mlobak kusubir ajira mmebaki kama 89 wengne washaptia dirishani, Thanks for coming
 
We mwalimu una uhakika wa kuajiriwa halafu unatupigia kelele humu, nimekasirishwa sana na hii tabia yako ya kulia bila sababu za msingi. By the way nikueleze wazi kuwa ni mwaka Wangu wa NNE tangu nimalize shahada ya WILDLIFE MANAGEMENT hata masikitiko sina.

don't bother!
 
Shule binafsi zishajichukuliaa walimu wao mapemaa wakiwemo wa masomo ya sayansi ambao ndo restricted commodity leo hii... Nipo wilaya ya bunda kuna shule inaitwa Dr. NCHIMBI SEC toka january form 1 hawajasoma physics na hesabu ata definition tuu... Na shule ipo mjini eb serikal ktk mgawanyo wa walimu iangaliee sanaa
 
Wakati mwinginee watuu tunashindwa kuelewa kuwaa maishaa unayoishi wewe ni tofauti na mwenzio daimaa hatuwezi kulinganaaa......oooh mtoa madaa hakuwaa na plan B ooooh mlitumiaa vibaya boom mlipokuwa chuoo ooo sijuiii niniii!...

Malawamaaa meeengiii!...

Mfano mie since nimeenda shule karibu NNE za private......ja kilaa mmoja anakwambiaa tukupee mkatabaa tenaa sio chinii ya mwakaaa maana ukifanya kazii miezii miwilii utaharibuu mipangoo yaoo maana wanafunzii kucop na mwalimu mpyaa inahitaji mudaaa!......

Na hataaa ukisemaa ufanyee biasharaaa!...
BIASHARA MTAJI REMEMBER!.....

Na kwa u-delicate wa ualimu ni vizuri mwalimuu aingie kazin fresh from school akiwa na harii yoooteee!....

Ni kwelii mamlakaa husikaa hawakututendeaa hakii kabisaaa ilaa namshaurii mwalimu tarajali mwenzangu......
Tulichaguaaa huu #witoo tunahitajikaa kuwa wavumilivuu na naamin hakunaaa wa kutuzuiaa kufanyaaa kilee tunachostahilii hataaa wakitoaa this month kamaaa wasemavo akina Jafo na Simbachawene au hata wa sabaa kama alivosemaa P.M na hataa wakitaka next year!....,

Tuvumiliee tuu na wakati huo tutengeneze mawazo (proposal) zitakazotusaidiaa kufikia malengo kimaishaaaa..

NAAMINI WALIMU TUNA UPEO MKUBWA WA KUFIKIRI NA IT'S GONA BE ALRIGHT.
 
pole sana. bajeti yenu ilitumika kwenye uchaguzi. na kwa jinsi inavyoonekana hata huu mwezi wa5 hamtaajiriwa, jaffo nae toka mwezi wa1 anasema mtaajiriwa mapema mwaka huu, tatizo siasa mpaka kwenye maswala ya elimu. vumilia kijana mpaka wa7 mambo yatakuwa mazuri.
 
Dah! mapema mwaka huu? Hiv mhJafo anafaham maana ya mapema? Afu watu wengine wanapenda sifa eti mlitumia vibaya boom, hivi unajua watu wote wanapata asalimia mia? Je, unajua kuwa kuja kupata boom unakuwa una madeni lukuki, na baada ya boom la kwanza kwa linalofuatia hucheleweshwa sana hadi mipango ya bajeti kuvurugika? Unaposema mtu ajiajiri, mwalimu atajiajiri wapi? Serikali iache ukiritimba huu, mtu anakaa mtaani mwaka mzima ili hali kuna upungufu mkubwa wa walimu nchini pamoja na mrundikano wa wanafubnzi hasa baada ya elimu bure, visingizio vya hakuna pesa siyo vya msingi, serikali inakusanya mapato yake hadi kuvuka malengo kwa sasa, na ikumbukwa ajira za walimu mwaka huu ni kwa bajeti inayoisha muda wake yaani 2015/16 na si 2016/17 kama baadhi yetu tunavyopotosha. Hivi unahangaika na madawati wanafunzi wakakae tu darasani bila walimu? Mtu anayeleta dhihaka na kejeli asidhan anamkomoa mtoa mada bali halitakii mema taifa, mwalimu ndo anamuandaa mtaalam wa kufanya kazi viwandani hapo baadae, leo unategemea matokeo mazuri ili hali mwalimu 1 anafundisha wanafunzi 200 na kuendelea tofauti na idadi halisi ya wanafunzi 45, serikali inadai nchi haina walimu wa sayansi, leo unawakalisha mwaka mzima utadhani hjamna uhitaji. Where are we going as a nation?
Wewe nani kakudanganya kuwa kuna upungufu wa walimu au unasema tu kwa kupanic. Subiria tu huruma ya serikali
 
Poleni waalimu ....muda bado kidogo Ila ww mwalimu unasubiri ajira umemaliza mwaka Jan mwezi wa 7 hadi Leo hujapata hata pa kujitolea shule za private kibaoo wala usingekuwa unawaza Ka mwanafunzi anavyosubiri matokea jiongeze mwalimu siyo kukaa tu ndo maan wengi wanasema mwalimu huwa n masikini wansubiri mshahara kumbe n uvivu mwingine maendeleo hayaji kwa mshahar tu hata genge unauza mtaji kidogo tu
 
Mheshimiwa Spika, mnamo mwezi Mei 2016, Serikali inatarajia kutoa ajira za walimu wapatao 40,000 ikijumuisha wa cheti, Stashahada na Shahada ili kukabiliana na upungufu wa walimu uliopo katika shule za Msingi na Sekondari nchini. Zaidi ya shilingi bilioni 17 zitahitajika kwa ajili ya kulipa posho pamoja na watakaoajiriwa nauli na halmashauri zote nchini. Elimu ya Sekondari za walimu wapya kupelekwa katika
 
Back
Top Bottom