Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 411
- 286
Nimeamua kujihusisha na masuala ya ufugaji baada ya kukosa matumaini ya kuajiriwa nilianza na kuku wa kienyeji 8 mwaka jana mwezi wa tisa sasa wapo 52.pia mwezi wa nne tarehe moja nimenunua Nguruwe sasa naomba ushauri jinsi nitakavyomnenepesha ili anipe tija japo natamani niongeze 2 ili wawe 3.tafadhali naomba mnisaidie ili niweze kusimama imara kiuchumi