Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 429
- 329
Kutokana na ukakasi wa kauli za serikali.napenda kuwakumbusha wahusika kuwa tumeishi kwa ahadi hewa kwa mda mrefu sasa toka sitisho la ajira litoke zimebaki siku 14 ziishe miezi miwili kama hamtuajiri ni bora mtuweke wazi maana mpaka sasa deni la milioni 12 la bodi linaniumiza kichwa ili hali nikipiga hesabu nimepewa milioni 10.bora mtupe mkweli maana IT IS TOO SAD AND PAINFUL