Naomba ushauri: Dini inavuruga uhusiano wetu

Naomba ushauri: Dini inavuruga uhusiano wetu

Mathayo Christopher

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
429
Reaction score
329
Jamani kuna binti tulikubaliana kuja kuishi mke na mume sasa pingamizi kubwa ni dini yeye ni muislamu.

Naomba ushauri nifanye nini katika hali hii.
 
Haya mambo ya dini yanatufanya tuwakose wapendwa wetu.
Piga goti muombe Mungu huyo kama iliandikwa atakuwa wako n wako tuuu. na kama haikuandikwa hata hufanyaje humpati.
Ikiwezekana funga kwa maombi kabisaa
 
Ongea nae abadili imani ili mlee watoto wenu katika imani yako maana wewe ndiye baba huwezi fuata dini ya mkeo itakuwa kama dharau fulani.
 
Ha ha ha ha shunie niache mie hapa et unaitwa mama ujue nmecheka mnoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
apo ndio tunaposhindwana mm na ww hivi bonny kwa nn hauniamin? au unajua naishi na wazazi nasubilia chakula cha kengele [emoji15]
 
apo ndio tunaposhindwana mm na ww hivi bonny kwa nn hauniamin? au unajua naishi na wazazi nasubilia chakula cha kengele [emoji15]
Ha ha ha ha kwahyo unataka nkuamin mama mkono mtupu haulambwi.... unaweza Kua sio cha kengele ila busara zako ni za msimu kama embe ng'ong'o
 
Back
Top Bottom