Search results

  1. Shamkware

    Kwa vipimo hivi nyumba hii itafaa kweli? Naomba ushauri wenu mafundi na wajenzi wakongwe!

    Nina kiwanja changu pahala off course ni kidogo (50 x 47 Futi) sasa nilitaka kuweka ujenzi pale! Nimemtuma fundi kufanya setting ya msingi na vipimo vya vyumba kulingana na nilivyotaka majibu yakawa hivi:- VIPIMO VYA VYUMBA 1: Sebule -ft 12x16 2: Master - ft 12 x 10 3: Room 1 -ft 9 x 10 4: Room...
  2. Shamkware

    Tabia ya kuibia majeruhi pale ajali inapotokea imekithiri Tanzania

    Habari wanajukwaa! Naamini muko vema na kama umeamka hauko vizuri kwa namna yoyote pole sana! Jamani binadamu wa kizazi hiki sijui tunaelekea wapi! Yaani watu sasa hivi wamekuwa na roho ngumu kuliko maelezo!. Yaani siku hizi ikitokea ajali tu iwe kwa mtembea kwa mguu, boda boda, gari au...
  3. Shamkware

    Chumba cha kulala kinatakiwa kiwe na ukubwa gani standard?

    Habari zenu wajenzi na mafundi wa humu Jf, Naombeni msaada kutoka kwa anaejua shida yangu ni kujua Ukubwa gani unafaa kuwa ukubwa wa Chumba Master na pia chumba bila master kinapaswa kuwa na ukubwa upi kiufundi tafadhali sana
  4. Shamkware

    Tofali ngapi zinatosha Kujenga msingi?

    Wakuu nauliza kwa mliojenga tayari, Ulitumia Tofali ngapi kujenga msingi tu wa nyumba yenye vyumba 3 ikiwa na jiko dining na public toilet! Na je gharama gani inafaa kumlipa fundi kwa ujenzi wa msingi tu? Eneo la kiwanja ni flat tu hakuna slope.
  5. Shamkware

    Mzazi mwenzangu ananilaumu na kunitangaza kwa ndugu zangu kwamba nimekataa kumsomesha mtoto wangu!

    Poleni na majukumu wana jamvi, Binafsi staki kuwachosha, Baali nina jambo ambalo naomba kushea nanyi ili hata kupata uzoefu au hata idea tu maana maarifa elimu na uwezo wa kufikiri niliona nao mimi haiwezi kuwa sawa na mtu mwingine. Iko hivi mimi ni mwnaume na naishi dsm nina mwanamke ambaye...
  6. Shamkware

    Ni vigezo gani kupata nafasi ya kusoma Open University Tanzania.

    Habari wadau, Ningependa kujua ikiwa kuna mtu anajua utaratibu dhabiti wa kujiunga na chuo hulia Tanzania (Open University Tanzania). Mwaka jana mdogo wangu aliomba kusoma diploma pale lakini hakupata nafasi, binafsi nilijua pale ukiomba tu unapewa bila masharti kigezo ni kuwa na sifa na kulipa...
  7. Shamkware

    Azam nini shida mmeshindwa biashara au tatizo nini?

    Leo nimezunguka kutafuta kisimbuzi cha dishi cha kampuni ya Azam media kila sehemu hakuna nimeanza kupita kwa mawakala kadhaa wote hawana nikaona niende moja kwa moja mpaka makao makuu pale Tazara pia nikaambiwa hakuna dishi. Nimeshangaa nakujiliuliza nini kinatokea kampuni kubwa kama Azam...
  8. Shamkware

    Ofisi ya Takwimu mmeshindwaje kupangilia majina ya waombaji wa nafasi za muda uandikishaji Sensa?

    Wadau hii imekaaje, Ofisi ya takwimu mlitoa ajira online kwa ajiri ya uandikishaji wa sensa ya watu na makazi 2022. Mfumo wa uombaji ulikuwa mzuri sana na watu wakajua kila mtu mwenye sifa na aliye kamilisha maombi yake ataweza pata bila upendeleo wa aina yoyote. Cha kushangaza majina yanatoka...
  9. Shamkware

    Mkeka wa tamisemi una mapungufu rekebisheni mnawapa maswali watu

    Tamisemi leo imetoa majina ya ajira za WALIMU na AFYA zilizokuwa zinasubiliwa kwa hamu na vijana wengi wenye kiu na ajira kwa zaidi ya miaka mitano sasa. Hata hivyo katika majina haya kwa haraka haraka kuna mapungufu ambayo najiuliza labda ni ya kibinadamu au ni weredi wa watumishi wa tamisemi...
  10. Shamkware

    Sabaya ni mfungwa, kwanini sasa havai sare za Magereza?!

    Habari wanajukwaa wenzangu, Binafsi ningeomba wajuzi wa sheria na mambo ya magereza watujuze na sisi tusiojua basi! Sote tunajua kwamba Mh. Sabaya alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Wakati huo bado anakabiliwa na mashitaka mengine yanayo mfanya aendelee kufika...
  11. Shamkware

    Presha kuwa kawaida (Normal) inatakiwa kuwa ngapi kwa binadam?

    Habari wana Jf doctors! Ugonjwa wa presha kwa siku hizi unaendelea kuwa moja ya matatizo makubwa kwa binadamu wote! Navyofahamu mimi kuna preha aina Mbili:- Presha ya Kupanda na Preha ya Kushuka. Sasa Naomba kuuliza kwa binadamu wa kawaida mwenye afya njema anatakiwa kuwa na presha...
  12. Shamkware

    Urio anaetajwa kwenye hii kesi ya Mbowe ni nani?

    Ndugu wana jamvi nadhani kila mmoja wetu anafahamu juu ya Kesi kubwa na nzito inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Freman Aikael Mbowe na wenzake watatu. Mengi tumeyasikia kutoka kwenye kesi hii likiwemo Jina la huyu anae tajwa kuwa Urio, Je huyu Urio ni nani? na je alikuwa miongoni...
  13. Shamkware

    Je, ni kweli Mke/Mume anaweza kuwa na gundu au mkosi kwenye familia?

    Habari wana jamvi, tumshukuru Mungu kwa uzima aliotujalia na kwa walio wagonjwa poleni sana. Nimeona ni vema kuuliza hili jambo kwenu wana jamvi kwani humu kuna watu wengi na wenye uelewa wa mambo mengi katika maisha. Iko hivi, kuna mwana familia mwenzetu amekuwa akipitia changamoto huu mwaka...
  14. Shamkware

    Waendesha bodaboda, tabia hii inakera sana

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye maada. Hivi sasa tunatambua bodaboda imekuwa ni kazi inayowasaidia vijana wengi sana kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu kitu ambacho ni kizuri sana. Lakini kazi hii baadhi ya maeneo inafanywa kwa kukosa weledi na maarifa ya...
  15. Shamkware

    Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Wapendwa habari ya majukumu. Naomba mwenye kujua aniambie, Nihitaji kujua hospitali inayo pima au kushugulika na matatizo ya COVID -19 nikapime mwenyewe kwa hiari yangu. Nahitaji kupima maana, Wiki iliyopita Tar.10 nilikuwa kwenye msiba wa kaka yangu aliyefariki kwa matatizo haya ya upumuaji...
  16. Shamkware

    Ni ngumu kuamini kama kaka yangu amefariki dunia

    Tuliongea mara ya mwisho Jumatatu mchana baada ya kusikia ile habari ya wagonjwa Mbeya, kaka akawa ananiambia mdogo wangu nasikia hali sio nzuri jikingeni jamani nyie mnaoishi kwenye mikusanyiko mikubwa. Nilimwambia kaka sio huku tu popote ulipo chukua tahadhari tu wewe, kama wewe maana hujui...
  17. Shamkware

    Umewahi kuachwa na mtu unayempenda na ikakupa taabu au madhara?

    Habari ndugu zangu,.... Moja kwa moja niende kwenye maada "Je ulishawahi kuachwa na mtu uliyempenda sana ikaku stress kiasi kwamba ilikuadhili kwa namna yoyote kwenye kwenye maisha yako". Nauliza hivi kwa sababu jana tu majira ya saa moja jioni kuna kabinti hapa nyumba pili tu nakafahamu...
  18. Shamkware

    Hivi mtu akiua mtu aliyemfumania na Mke/Mume sheria inasemje?

    Mimi nataka kuuliza leo, Haya matukio ya kuuana kwenye mahusiano hasa fumanizi yamekuwa mengi sana siku hizi. Hivi karibuni tu January 04 ya mwaka huu tulisikia jamaa mmoja Huko Chunya Mbeya amemua mtu aliyemfumania na mke wake ndani ya nyumba kwenye chumba anacholala akifanya mapenzi na mke...
  19. Shamkware

    Nchi/Mji gani Afrika ni pazuri kwenda kutafuta maisha?

    Wapendwa Habari za leo, Binafsi nina mpango wa kwenda kutafuta maisha nje ya nchi ndani ya huu mwaka 2021 kama mambo yangu yataenda kama nilivyopanga. Mpango wangu nilitaka niende Accra, Ghana au Younde, Cameroon, kwa wale mliowahi kupita pita kwenye nchi hizo au hata zingine ndani ya...
  20. Shamkware

    Amuua Mpenzi wake kisha nae Kujiua

    Kijana mmoja nchini Zambia alietambukika kwa jina la Kaluwayo Mwika (29) amemuua dada mmoja kwa jina la Mapalo Masiku (21) aliyekuwa mpenzi wake kisha naye pia akajiuwa baada ya kutekeleza tukio hilo. Inasemekana Kaluwayo Mwika alifanya mauwaji hayo baada ya binti huyo aliyekuwa mwanachuo wa...
Back
Top Bottom