mzazi mwenzangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sawa Umemuoa mzazi mwenzangu (Single mother) Na ukakubali kumlea mtoto wangu; sasa ni kwanini unipangie namna ya Kumuona mtoto na mzazi mwezangu?

    Narudia kusema tena hili kwa sauti kubwa HAKUNA MWANAMKE ANAWEZA KUZAA NA MWANAUME ASIYEMPENDA HAYUPO. Sasa kama umekubali kuishi naye na hata kumlea mtoto wetu pamoja na mzazi mwenzangu na unajua wazi Sheria ya nchi inaniruhusu kuonana na mtoto wangu kila ninapohitaji kuonana naye na hata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nashangaa mzazi mwenzangu bado ana number yangu ya simu mpaka leo.

    Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta. Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu alinitelekeza ugenini

    Ubahili unanifanya nitelekezwe na wanawake Mimi huwa ni mzito sana kwenye kuhonga; ila kama ni kula, kunywa, kucheza mziki, na kutalii baadhi ya mazingira tutakuwa wote; muhimu katika shilingi ninayotoa na mimi ninufaike nayo. Kutokana na mazingira hayo, wengi niliokuwa nao kwenye mahusiano...
  5. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Mzazi Mwenzangu kamtelekeza mtoto wangu

    Habarini wana Jamvi. Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto ilikuwa ni ajali kazini. Nahudumia mtoto ina Bima hii mbovu mbovu ya NHIF nimemkatia ila katikati apa...
  6. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

    Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea wengine mabaya, ni bora uwe neutral (mtu wa haki sio mtu wa favors) kuliko kuwa negative. Hii ni kwa...
  7. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu ananilaumu na kunitangaza kwa ndugu zangu kwamba nimekataa kumsomesha mtoto wangu!

    Poleni na majukumu wana jamvi, Binafsi staki kuwachosha, Baali nina jambo ambalo naomba kushea nanyi ili hata kupata uzoefu au hata idea tu maana maarifa elimu na uwezo wa kufikiri niliona nao mimi haiwezi kuwa sawa na mtu mwingine. Iko hivi mimi ni mwnaume na naishi dsm nina mwanamke ambaye...
Back
Top Bottom