Amuua Mpenzi wake kisha nae Kujiua

Amuua Mpenzi wake kisha nae Kujiua

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309

​
Kijana mmoja nchini Zambia alietambukika kwa jina la Kaluwayo Mwika (29) amemuua dada mmoja kwa jina la Mapalo Masiku (21) aliyekuwa mpenzi wake kisha naye pia akajiuwa baada ya kutekeleza tukio hilo.

zambian-student-murdered-by-boyfriend1.jpg

Inasemekana Kaluwayo Mwika alifanya mauwaji hayo baada ya binti huyo aliyekuwa mwanachuo wa unesi mwaka wa pili kumwacha na kupata mpenzi mwingine aliyetambulika kwa jina la Patrick.

Mwika alichukizwa na kitendo hicho kwani alikuwa tayari kashamvusha pete ya uchumba binti huyo na alikuwa akimsaidia katika masomo yake ya unesi.

Ndipo Mwika alimwita dada huyo eneo lenye kichaka, ndio akatekeleza mauaji hayo, kisha na yeye kujinyonga hadi kufa.

Polisi nchini humo wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kwa ushahidi kwamba simu ya Mwika ilionyesha ushahidi wa sauti aliyo kuwa aikiongea na rafiki yake na akikiri mauwaji hayo na kumwambia na yeye pia anajimaliza.

----
LUSAKA-(MaraviPost)-A 21-year-old Zambian student nurse, Mapalo Masiku has been murdered by her boyfriend, Kaluwayo Mwika after she broke up with him.

Mwika, 29, committed suicide by hanging immediately after killing his girlfriend.

It is believed that Mapalo who was laid to rest on Wednesday, December 16, 2020 in Luanshya, Copperbelt Province, Zambia, wanted to end the relationship because she found new love.

However, this didn’t go well with Mwika so he lured her somewhere near a bush where he strangled her to death.

Central Province Commissioner of Police, Chola Katanga, who confirmed the incident, said Masiku was a second year student at Chitambo College of Nursing and of House Number 351, Mikomfwa Township in Luanshya, Copperbelt Province.

Mr Katanga said the incident happened on Sunday, December 13, within the nearby bush of Chitambo College of Nursing.

He said Kaluwayo allegedly hanged himself at Chito Area, about 18km from the scene of crime, Chitambo College of Nursing.

Police spokesperson, Esther Katongo said initial investigations indicated that the victim had a misunderstanding with her boyfriend who had just completed school at the same College.

Mrs Katongo said the suspect is believed to have called a friend to the victim to give direction to where the body was.

“The body was found with injuries and was picked and taken to Chitambo District Hospital mortuary and today. Police received information that the suspect has committed suicide.” she added.

Meanwhile, the Commissioner said police are looking into a recorded call that Kaluwaya had with one of his friends where he confessed to have killed his girlfriend.

Katanga said in the recording, Kaluwaya said he killed Mapalo because she dumped him for another man despite him putting a ring on her finger. The recording reads:

“I told her that let’s go somewhere and talk,we then went somewhere near the bush…We then talked about our relationship. She couldn’t cooperate. She told me that she has found a new guy called Patrick. She then told me that she no longer loves me, but she is ready to give me a child. She said she can give me anything.We then enjoyed ourselves,”

“Later the argument continued again because I was hurt, for her to leave me! That’s how I strangled her neck, till she died. I then hit her with a piece of tree on the head.

I don’t believe that she is still alive, if she is alive, then she must thank her God. I hope they will find her body. This is my last call, I hope that you will find my body, my phone is on, and the people who will pick my corpse will communicate. I’m using a small phone, no password…I’m gone!.”

- You are being redirected...
 
Hasara kwa Patrick, atafute mpenzi mwingine
 
Ktoto kzur,kama haupo chuo ni ujinga kuwa na mpenz mwanachuo afu ukiwa na wivu wa kijinga hata kama humsomeshi
 
Back
Top Bottom