Sabaya ni mfungwa, kwanini sasa havai sare za Magereza?!

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,740
2,243
Habari wanajukwaa wenzangu, Binafsi ningeomba wajuzi wa sheria na mambo ya magereza watujuze na sisi tusiojua basi!

Sote tunajua kwamba Mh. Sabaya alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Wakati huo bado anakabiliwa na mashitaka mengine yanayo mfanya aendelee kufika mahakamani akiwa kama Mfungwa mwenye kesi nyingine.

Sasa kawaida tunavyojua ukishahukumiwa ni lazima upewe uniform za Gereza zilizo na namba ya kifungo chako kifuani. Sasa kwanini Sabaya havai uniform hizo ingali na yeye ni mfungwa tayari? Maana jamaa ananyuka suti tu
IMG_3049.jpg

au inaruhusiwa ukiwa na kesi unaweza kuzivua ukavaa kiraia tu?

Mwenye kujua ebu atueleweshe.
Asante!
 
Uniform ni udhalilishaji wa utu wa binadamu.

Hivi mfungwa anajisikiaje kuvaa nguo moja miaka 10?

Anajisikiaje siku akija kutembelewa na jamaa zake akiwa na magwanda?

Uniform ni moja Kati ya udhalilishaji wa mfungwa.
Hata ulaya wanavaa uniform, ni nchi gan wafungwa hawavai uniform? Labda unisaidie na Jina la gereza ili nijifunze kitu kipya
 
Habari wanajukwaa wenzangu, Binafsi ningeomba wajuzi wa sheria na mambo ya magereza watujuze na sisi tusiojua basi!

Sote tunajua kwamba Mh. Sabaya alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Wakati huo bado anakabiliwa na mashitaka mengine yanayo mfanya aendelee kufika mahakamani akiwa kama Mfungwa mwenye kesi nyingine.

Sasa kawaida tunavyojua ukishahukumiwa ni lazima upewe uniform za Gereza zilizo na namba ya kifungo chako kifuani. Sasa kwanini Sabaya havai uniform hizo ingali na yeye ni mfungwa tayari? Maana jamaa ananyuka suti tu View attachment 2071589
au inaruhusiwa ukiwa na kesi unaweza kuzivua ukavaa kiraia tu?

Mwenye kujua ebu atueleweshe.
Asante!

Halafu hilo bichwa si lilitakiwa liwe para?
Mbona amechonga…?
Si ajabu huko gerezani kwenye hicho kifungo chake akawa analala kwa mkuu wa gereza…!!
 
Uniform ni udhalilishaji wa utu wa binadamu.

Hivi mfungwa anajisikiaje kuvaa nguo moja miaka 10?

Anajisikiaje siku akija kutembelewa na jamaa zake akiwa na magwanda?

Uniform ni moja Kati ya udhalilishaji wa mfungwa.

Kama tatizo ni uniform kudhalilisha, inamaana hata mashuleni watu wapige kiraia tu, wanajeshi, maaskari na wengine wanaovaa uniform watupilie mbali hayo mambo ya sare?

USA wafungwa hawavai uniform?
 
Back
Top Bottom