Umewahi kuachwa na mtu unayempenda na ikakupa taabu au madhara?

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,740
2,243
Habari ndugu zangu,....
Moja kwa moja niende kwenye maada "Je ulishawahi kuachwa na mtu uliyempenda sana ikaku stress kiasi kwamba ilikuadhili kwa namna yoyote kwenye kwenye maisha yako".

Nauliza hivi kwa sababu jana tu majira ya saa moja jioni kuna kabinti hapa nyumba pili tu nakafahamu kamekunywa sumu kisa mpenzi wake amemuacha japokuwa hakufa walimuwahi na kumpeleka hospital. Ukiacha huyu wa jana wapo watu wengi sana wanapata madhara na matatizo na mpaka ulemavu kisa mapenzi inakuwaje hii wanapendaje hawa mi najiuliza sipati majibu kabisa.

Binafsi nimewahi kuachwa mara nyingi tu na wanawake ninaowapenda mno lakini sijawahi kupata taabu au maumivu ya kufikia kupata madhara ya aina yoyote kabisa najiuliza wenzangu mnapendaje?. Inakuwaje ujiue kisa mtu tu sio baba yako, Mama yako wala ndugu yako na wakati huo wanaume/wanawake wako wengi tu kila kona tena wazuri. Ukiniacha si natafuta mwingine tu tena mzuri zaidi yako maisha yanasonga.

Hivi huu ni ujinga ama tatizo gani linatukumba, ulimbukeni wa mapenzi ama nini. Mtu akikuacha si ujue tu hakupendi tafuta mwingine inakuwaje ukonde au kulialia au ujiue? Alikuwa anakulipa mshahara, Vijana tunakwama wapi?....

NB: Picha haihusiani na uzi huu.

images.jpg
 
View attachment 1690817
Mkuu hujawahi kukutana na tule tubinti tulitotoka mbele kidogo ya kuzimu ni tutamu hadi unaweza toa kachozi ka kumwambia inatosha baby..😅
Unakuta kabla ya mambo kanakupikia maji ya kuoga halafu unakaribishwa mezani kwenye mapochopocho mahanjumati hapo unakutana mpk na samaki katiwa ubweche mpk kwenye mifupa halafu utamu kunoga unakula unajiuliza huyu mpishi kapika mwenyewe tu au na hivi vyakula vimejipika ili kunogesha!..😋

Kule kibindoni sasa unapewa zile style zinaitwa ikichomoka wafwa..😂
Yani dyudyu inakuwa inakunwa,Kama inarambwa,tena huku inatekenywa kwa wakati mmoja halafu mtoto anatoa sauti tamu tamu kama sijui kala mayai alfu nne! sasa mbovu mbaya umuangalie jichoni! Utakuta karembua remburembu Kama vile lenzi ya jicho inataka kudondoka!
Sasa hicho kiumbe kikuache walahi ukipona utakuwa umeshatunukiwa vyeo vyote vya tiba maana utakuwa umeshapigia nyungu hadi mavi ya tembo yakichanganywa na muarobaini mixer na pilipili hoho!.. Kuna vitu vitamu nyie..
 
Mkuu hujawahi kukutana na tule tubinti tulitotoka mbele kidogo ya kuzimu ni tutamu hadi unaweza toa kachozi ka kumwambia inatosha baby..
Unakuta kabla ya mambo kanakupikia maji ya kuoga halafu unakaribishwa mezani kwenye mapochopocho mahanjumati hapo unakutana mpk na samaki katiwa ubweche mpk kwenye mifupa halafu utamu kunoga unakula unajiuliza huyu mpishi kapika mwenyewe tu au na hivi vyakula vimejipika ili kunogesha!..

Kule kibindoni sasa unapewa zile style zinaitwa ikichomoka wafwa..

Ukiachwa unaenda kupiga Faru john na Supu ya kongoro aaaf unauchapa usingizi kesho unaamka na Nguvu mpya na kasi ya ajabu kwann Uteseke kisa mapenzi??
 
Mkuu hujawahi kukutana na tule tubinti tulitotoka mbele kidogo ya kuzimu ni tutamu hadi unaweza toa kachozi ka kumwambia inatosha baby..
Unakuta kabla ya mambo kanakupikia maji ya kuoga halafu unakaribishwa mezani kwenye mapochopocho mahanjumati hapo unakutana mpk na samaki katiwa ubweche mpk kwenye mifupa halafu utamu kunoga unakula unajiuliza huyu mpishi kapika mwenyewe tu au na hivi vyakula vimejipika ili kunogesha!..

Kule kibindoni sasa unapewa zile style zinaitwa ikichomoka wafwa..
Yani dyudyu inakuwa inakunwa,Kama inarambwa,tena huku inatekenywa kwa wakati mmoja halafu mtoto anatoa sauti tamu tamu kama sijui kala mayai alfu nne! sasa mbovu mbaya umuangalie jichoni! Utakuta karembua remburembu Kama vile lenzi ya jicho inataka kudondoka!
Sasa hicho kiumbe kikuache walahi ukipona utakuwa umeshatunukiwa vyeo vyote vya tiba maana utakuwa umeshapigia nyungu hadi mavi ya tembo yakichanganywa na muarobaini mixer na pilipili hoho!.. Kuna vitu vitamu nyie..
Aise
 
Back
Top Bottom