Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,756
- 2,309
Leo nimezunguka kutafuta kisimbuzi cha dishi cha kampuni ya Azam media kila sehemu hakuna nimeanza kupita kwa mawakala kadhaa wote hawana nikaona niende moja kwa moja mpaka makao makuu pale Tazara pia nikaambiwa hakuna dishi.
Nimeshangaa nakujiliuliza nini kinatokea kampuni kubwa kama Azam inafika mda mpaka makao makuu wanaishiwa mzigo hii imekaaje sijaelewa kabisa? Ni kwamba demand imekuwa kubwa kuliko supply?
Nauliza wataleta lini sasa eti hata hawaelewi. Azam kama mmeshindwa biashara mtuambie tuendelee na dstv zetu tu bana.