Search results

  1. Ngamba

    Msaada: Radio Advert Rate kwa Dodoma

    rejea na kichwa cha habari hapo juu naomba mwenye details ya advert rate kwa radio zilizopo mkoa wa dodoma
  2. Ngamba

    Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  3. Ngamba

    Saterite decoda ya Bein

    Jameni naomba msaada wapi nawepa pata/ kununua saterite receiver ya Bein kwa hapa Bongo???? ntashukuru kwa msaada wowote utakaonisaidia kutatua shida yangu Asanteni
  4. Ngamba

    Material ya Sabuni Msaada

    Salaam Naomba Msaada wapi naweza para vifaa vifuatavyo napayikana mwanza. 1. Sodium laural Ether Sulphate(Ungarol) 2. Linear alky benzene sulphonic acid, 3. Coconut diethsnoline (C.D.E) 4. Sodium tripolyphosphate(S.T.P.P) 5. Caustic soda 6. Sodium benzoate 7. PerFumes...
  5. Ngamba

    Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza Bio Gas digester at home

    Naomba msaada jinsi ninavyoweza tengeneza bio gas digest ndogo nyumbani, nataka tengeneza kwa kutumia tank ya lita 100 kwa kutumia malighafi(materials) ninayoweza kupata kwa urahisi ni garama nafuu. Nashukuru kwa msaada nitakaopata
  6. Ngamba

    Nichague Smart Phone gani kati ya hizi?

    Naomba msaada wenu ningependa kununua smart fone mpya ila nimejikuta nashinda kuchakua ipi iliyo bora kati ya hizi 1. Nokia 2.3 2. Samsung A20s 2. Infinix hot 8 Nitashukuru saana msaada wenu kujua upi bora zaidi hasa specification zake
  7. Ngamba

    Dereva wa Bobi Wine apigwa risasi na kufa papo hapo akiwa kwenye gari

    Dereva wa MP Sentamu Kyagulani Robert aka Bobi Wine ameuawa akiwa ndani ya gari huko Arua. Tukio hilo limetokea wakati viongozi wa upinzani wakiwa kwenye kampeni wakimsapoti mgombea huru Kassiano Wadri anayegombea ubunge wa Arua baada ya Mbunge Ibrahim Abiriga kuuawa kwa risasi. Bobbi Wine...
  8. Ngamba

    Msaada: Kutoa icloud kwa iphone s5

    Naomba msaada nimepewa hio simu ila iko na icloud na bahati mbaya aliyenipa hakunipa password. Hivyo ningependa kupata msaaada wakuitoa
  9. Ngamba

    hard reserting iphone 5s

    msaaada jinsi ya ku hard reset iphone 5s na jinsi ya kupata icloud accounts
  10. Ngamba

    Sumsung J1 na Tecno W1 ipi bora

    Naombeni msaada kujua kati ya hizi simu sumsung j1 na Tecno w1 ipi bora zaidi maana nataka kununua moja Asanteni
  11. Ngamba

    Msaada kuandaa na kupika mzubo

    jameni pokeni na shughuri za kutafuta mafao, naombeni msaada , leo kuna hii mboga ya wanyamwezi na wasukuma huitumia " MZUBO" naomba kujua jinsi ya kuiandA na vile vile jinai ya kuipika asanteni
  12. Ngamba

    whatsApp help

    nimekuwa nikitumia sim ya huawei y330 ila sasa nimepata simu ya nokia lumia so naomba msaada njisi ninavyoweza hamisha charts zangu zote toka y330 kwenda lumia shukran
  13. Ngamba

    Mtaalam wa kutengeneza vyungu anahitajika

    lejea na kichwa cha habari hapo juu.nipo dar nahitaji/ nhatafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza vyungu tufanye biashara , kama unajua mtu tuwasiliane
  14. Ngamba

    U.S. Central Bank kuongeza riba inamaanisha nini kwa uchumi wa Tanzania?

    Ni nini maana ya U.S. Central Bank kuongeza riba, inamaanisha nini kwa uchumi wa Tanzania? Je, inamaanisha kuwa thamani ya hela yetu inazidi kushuka?
  15. Ngamba

    Tanzania budget information

    je hii ni kweli kuhusu budget yetu?????? www.observer.ug/business/38-business/39855-uganda-best-in-east-africa-in-budget-transparency fungua hio link na soma na uje utoe koment na utoe maoni yako ni kivipi nasi tunaweza kuimprove hapa kwetu Tanzania
  16. Ngamba

    Natafuta hizi Chemical, nipo Dar

    naomba msaada nahitaji hizi chemical zifuatazo 1. Campden Tablet 2 Tannin 3. na hiki kifaa " HYDROMETER " Ntashukuru sana kwa msaada nitakaopata kwa mwenye kujua wapi naweza kuzipata
  17. Ngamba

    Vodacom acheni huu wizi

    Congratulations!You have got 19 minutes to call all networks, 1000 national SMS and 8MB to be used till 2015-08-25.Dial *149*60# for balance. HII SIO HAKI NAKIWA KUPATA DAKIKA 20 NA SIO 19
  18. Ngamba

    Msaada WhatsApp

    naombeni msaada kwa anayeweza kunisaidi, nataka kuripia whatsApp ila shida yanu sina bank account inayoruhusu maripo ya online , mwenye kujua jinsi ninavyoweza kufanikisha hili ntashukuru sana
  19. Ngamba

    Adobe CSI 6 Master collection

    natafuta hii software mwenye kujua wapi naweA ipata tuwasiliane
  20. Ngamba

    Msaada, laptop imegoma kuwaka

    naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi na anayejua anachofanya, laptop yangu imegoma kuwaka kila ikiwaka inaishia kulongo logo ya window na kuzima nd sometime inakubali kuwaka kwenye safe mode but also wakati mwingine inazima au kugoma kabisa kuwaka, naombeni msaada , mimi nipo dar boko chama
Back
Top Bottom