Nichague Smart Phone gani kati ya hizi?

Nichague Smart Phone gani kati ya hizi?

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
752
Reaction score
154
Naomba msaada wenu ningependa kununua smart fone mpya ila nimejikuta nashinda kuchakua ipi iliyo bora kati ya hizi
1. Nokia 2.3
2. Samsung A20s
2. Infinix hot 8

Nitashukuru saana msaada wenu kujua upi bora zaidi hasa specification zake
 
Kwa urahisi wa vipuri chukua infinix lakini kwa ubora Samsung
 
Zote zipo Bomba na ila kwa muonekano nzuri chukua infinix... Hata Mimi natumia infinix hot 8 ipo powa sana
 
Naomba msaada wenu ningependa kununua smart fone mpya ila nimejikuta nashinda kuchakua ipi iliyo bora kati ya hizi
1. Nokia 2.3
2. Samsung A20s
2. Infinix hot 8

Nitashukuru saana msaada wenu kujua upi bora zaidi hasa specification zake
kati ya hizi simu 3 A20s ni simu nzuri zaidi, ina snadragon 450 ambayo ni nzuri kushinda helio A22 ya Nokia na infinix, ina fast charger, type c, pia kwenye lte ina band zote za Tanzania hutapata shida mtandao kukamata 4g.

unazipata kwa kiasi gani? inawezekana kukawa na simu nzuri zaidi kwa hio bei.
 
Chukua Samsung A21s made in Vietnam, achana an hizo product za China zenye high specification with low performance
 
Back
Top Bottom