Mtaalam wa kutengeneza vyungu anahitajika

Ngamba

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
748
148
lejea na kichwa cha habari hapo juu.nipo dar nahitaji/ nhatafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza vyungu tufanye biashara , kama unajua mtu tuwasiliane
 
Hivi huu utaalamu wa kutengeneza vyungu haiwezekani kutumika kuunda vigae vya kuezekea nyumba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom