Msaada kuandaa na kupika mzubo

Ngamba

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
750
151
jameni pokeni na shughuri za kutafuta mafao,

naombeni msaada , leo kuna hii mboga ya wanyamwezi na wasukuma huitumia " MZUBO" naomba kujua jinsi ya kuiandA na vile vile jinai ya kuipika

asanteni
 
Weka maji kikombe kimoja kwa sufuria yakichemka tia Katanga zilizosagwa zikoroge mpk ziwe uji mzito kisha chota mboga yako vijiko viwili weka kidogo kidogo huku ukikoroga mpk mxhanganyiko uwe vizur acha kwa muda vitokote.kisha jirambe
 
Back
Top Bottom