Search results

  1. Achoki

    Nimeanza kuziamini ndoto baada ya kuota nipo na Rais Samia kisha nikapata kazi

    Habari za mchana, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja. Mimi nilihitimu chuo kimoja maarufu hapa nchini mwaka 2015. Tangu mwaka 2015 nlikuwa naishia tu kupata viajira vya kubangaiza bangaiza. Sasa mwaka huu mwezi wa nne tarehe 3 niliota ndoto ambayo nlivyoamka nikaitafakari sana sikupata...
  2. Achoki

    Bado inawezekana Arsenal kubeba ubingwa wa EPL msimu huu wazee

    Nakumbuka wakati kabla Yanga hajacheza na Singida kuna jamaa aliweka hivi Singida 0-1 Yanga Yanga 1-1 Dodoma jiji Mbeya city 1-1 Yanga Prisons 1-0 Yanga Halafu NAMUNGO 0-2 Simba Simba 5-0 Ruvu shooting Simba 4-1 Polisi Tz Simba 5-0 Coastal union SIMBA points 75 bingwa YANGA Points 73 MI...
  3. Achoki

    Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

    ANASHANGAA KWANINI WATU WANAFELI NECTA!! MI NAMJIBU HIVI -Mkumbusheni kuna kitu kinaitwa normal curve kwenye hiyo hesabu kipo!!! Akijua hicho hawezi shangaa na -Ajue wazi IQ tunatofautiana -mazingira tunatofautiana -Malezi tunatofautiana -mwitikio tunatofautiana -HIVYO WOTE HATUWEZI FAULU!!! NA...
  4. Achoki

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Hata miezi miwili bado chozi la musiba hili hapa! Ok RIP wema hawafiki!!
  5. Achoki

    Mamelodi Sundowns wako Overrated

    Halafu sio sio js kabyle ni CR BELOUIZDAD
  6. Achoki

    Yanga haya magoli 14 mnayozidiwa na Simba kayafunga Mayele?

    Kuna takwimu na uhalisia
  7. Achoki

    Marefa wa bongo hovyo sana

    Timu ya raisi es FFT INANUSURIWA KUSHUKA DARAJA
  8. Achoki

    UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

    Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani; 1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata. NB: Siyo mara zote. 2. Ukifuata mtiririko huu wa waliochukuwa kombe...
  9. Achoki

    Ommy Dimpoz leo umepata posts nyingi

    ukiingia celebrity forum unakutana na nyuzi zako tu.. kama kiki umepata broo
  10. Achoki

    Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

    mamdogo nimekukubali jinsi unavyojibu maswali kihekima najaribu kuona watu badala ya kuuliza maswali ya kujenga wao wanauliza maswali ya kukushambulia.. big up
  11. Achoki

    Wasomi nimeshindwa kuiweka maneno haya kwa kiswahili

    SISHOBOKI NA MUONEKANO WA MTU
  12. Achoki

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    mashabiki kazini wKipelekwa huku wanaenda wakipelekwa huku wanaenda na bado series inaendelea .......
  13. Achoki

    Damn! Unaanzaje kumfananisha STAMINA na FA, Mnanioffend Brothers

    Naona mmechoka kumfananisha diamond na ally k, now mnaanzisha mtafaruku mwingine acheni ulimbukeni!
  14. Achoki

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    hapana kama unabisha niruhusu nitaje jina lako!
  15. Achoki

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    we mbna kama nakufahamu viilee
  16. Achoki

    Wimbo bora wa mwaka 2014 na msanii bora

    mi list yangu hii 1.mwanadsm- Ally kiba 2.najuta-yamoto band 3.nani kama mama-c bella 4.niseme-ya moto band 5.mdogomdogo-diamond
Back
Top Bottom