england

England is a country that is part of the United Kingdom. It shares land borders with Wales to its west and Scotland to its north. The Irish Sea lies northwest of England and the Celtic Sea to the southwest. England is separated from continental Europe by the North Sea to the east and the English Channel to the south. The country covers five-eighths of the island of Great Britain, which lies in the North Atlantic, and includes over 100 smaller islands, such as the Isles of Scilly and the Isle of Wight.
The area now called England was first inhabited by modern humans during the Upper Paleolithic period, but takes its name from the Angles, a Germanic tribe deriving its name from the Anglia peninsula, who settled during the 5th and 6th centuries. England became a unified state in the 10th century, and since the Age of Discovery, which began during the 15th century, has had a significant cultural and legal impact on the wider world. The English language, the Anglican Church, and English law – the basis for the common law legal systems of many other countries around the world – developed in England, and the country's parliamentary system of government has been widely adopted by other nations. The Industrial Revolution began in 18th-century England, transforming its society into the world's first industrialised nation.England's terrain is chiefly low hills and plains, especially in central and southern England. However, there is upland and mountainous terrain in the north (for example, the Lake District and Pennines) and in the west (for example, Dartmoor and the Shropshire Hills). The capital is London, which has the largest metropolitan area in both the United Kingdom and, prior to Brexit, the European Union. England's population of 56.3 million comprises 84% of the population of the United Kingdom, largely concentrated around London, the South East, and conurbations in the Midlands, the North West, the North East, and Yorkshire, which each developed as major industrial regions during the 19th century.The Kingdom of England – which after 1535 included Wales – ceased being a separate sovereign state on 1 May 1707, when the Acts of Union put into effect the terms agreed in the Treaty of Union the previous year, resulting in a political union with the Kingdom of Scotland to create the Kingdom of Great Britain. In 1801, Great Britain was united with the Kingdom of Ireland (through another Act of Union) to become the United Kingdom of Great Britain and Ireland. In 1922 the Irish Free State seceded from the United Kingdom, leading to the latter being renamed the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: France 4-6 England | World Cup 2026 | 3rd Place | Hard Rock Stadium | 19 Julai, 2026 | 6:00 Usiku | England yamaliza mshindi wa tatu

    Mchezo wa kuwania nafasi ya tatu haukuwa namna ambayo kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps, alitarajia kuhitimisha kipindi chake cha mafanikio makubwa akiwa usukani mwa timu hiyo. Vivyo hivyo kwa England, ambao hawakutarajia kumaliza mashindano katika hatua hiyo baada ya kuwa mbele mwishoni mwa...
  2. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Chupa ya kipa wa England ilikuwa na majina ya wapiga Penati wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina waliiotea chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, ambayo ilikuwa na maelekezo yaliyoonyesha upande ambao kila mchezaji wa Argentina alitarajiwa kupiga penati iwapo wakifika katika hatua hizo. Baada ya kuiona, wachezaji wote wa Argentina walikusanyika kuisoma...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naona leo England anaenda Fainal

    Hisia zangu zinaniambia England anamtoa Argentina counter attack za England zinaweza zikawa mwiba mkali kwa Argentina. England watamnyima space Argentina kitu ambacho kitawapa wakati mgumu
  4. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Argentina VS England: Imebeba mambo mengi na hisia zaidi ya mpira

    Ni mechi ambayo inaenda kukumbushia historia ya vizazi vingi katika nyanja mbalimbali Huko Atlanta, Lionel Messi atacheza dhidi ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika taaluma yake huku mabingwa watetezi wa dunia wakijaribu kumzuia Thomas Tuchel kumaliza miaka 60 ya maumivu. Lakini si ushindani...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Timu GOAT mwitu wanahaha walianza na Portugal, France, watahamia England watanyooshwa. Fainali ni ya Barça fans

    Usikubali timu yako wakahamia wale mashabiki wa Christopher ni kama wana laana Waliipa hype Ufaransa ona sasa wametupwa nje ya mashindano, leo watahamishia laana England. Huko napo watakula kichapo Epuka sana PORTUGAL MIGRATION kwenye timu yako
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: England 1-2 Argentina | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 15 Julai, 2026 | Nusu Fainali

    Moja ya dabi kubwa zaidi katika historia ya Kombe la Dunia itaandika sura mpya jijini Atlanta, ambapo England na Argentina zitakutana kwa mara ya sita katika mashindano haya huku nafasi ya kutinga fainali ikiwa hatarini. England hawajaonyesha kiwango cha kuvutia sana katika Kombe hili la Dunia...
  7. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Kwa hii confidence, England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 tumeshachukua world cup 🏆

    DARASA HURU 💁🏾‍♂️ Kuelekea Semi-final na ARGENTINA... Elcapitano Maestro 🗣Baadhi ya wana England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 akiwemo Tuchel 🇩🇪 wakiulizwa kuhusu Argentina kuelekea Nusu Fainali. 1. Jude Bellingham 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 🗣 "Argentina? Hapana, wao ni timu ya kawaida tu sisi ni bora kuliko wao kwa kila kitu." 2...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FIFA yazuia waamuzi wa kimataifa kutoka nchini England, Anthony Taylor na Michael Oliver kuchezesha mechi za Argentina

    Ila FIFA kwahiyo migogoro ya kisiasa ndio unahalisha ubaguzi wa kimechezo kama huu tena toka miaka 1980... ====== Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limepiga marufuku waamuzi wa kimataifa kutoka nchini England, Anthony Taylor na Michael Oliver, kuchezesha mchezo wowote unaoihusu timu ya...
  9. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania 4 July 2026 Cape verde atamfunga Argentina na kumtoa, ila Fainali wataingia France na England na Bingwa wa Fifa World Cup 2026 atakuwa England

    Mods msiunganishe huu Uzi hili ni muhimu. Huu sio utabiri ndo kitakachotokea. Fainali wataingia France na England ila England atabeba ubingwa wa Fifa World Cup 2026.
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: England 2-1 D.R. Congo | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | Julai 1, 2026 | 1:00 Usiku

    England wanatarajia kuonyesha kiwango bora zaidi wanapoanza hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia 2026, wakisafiri hadi jijini Atlanta kukabiliana na DR Congo katika mchezo wa hatua ya 32 bora. Licha ya kumaliza vinara wa Kundi L kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Panama katika mchezo wa mwisho...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: England 0-0 Ghana | World Cup 2026 | Gillette Stadium | 23 Juni, 2026 | 5:00 Usiku

    England na Ghana zinalenga kukata tiketi ya hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia mapema iwezekanavyo kwa kushinda mtanange huu wa Kundi L utakaopigwa huko Boston. Fomu ya Timu na Habari Zilizopo England: Walionyesha moja ya kiwango cha kuvutia zaidi kwenye Kombe la Dunia baada ya kuichapa Croatia...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: England 4-2 Croatia | Wolrd Cup 2026 | AT&T Stadium | Kundi L

    England imeanza vyema kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Croatia katika mchezo wa Kundi L uliokuwa na ushindani mkubwa. England ilionyesha ubora wake wa kushambulia kwa kutumia vyema nafasi walizozipata na kufanikiwa kuondoka na alama tatu...
  13. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

    Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Timu za England zilizofika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nyingi

    Graphics: InfinityFootball
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nike yakiri jezi za England za Kombe la Dunia 2026 zinazouzwa Tsh 408,324 zina kasoro baada ya kutumia AI kwenye usanifu

    Kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike imekiri kuwa na kasoro katika jezi mpya za timu za taifa kwa ajili ya Kombe la Dunia, zikiwemo zile za England zinazouzwa kwa takriban Pauni 135. Tatizo hilo linahusisha mshono wa mabega ambao unajivuta na kutengeneza uvimbe usio wa kawaida (bulging), hali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wajapan na Usafi: Japan 1 - England 0

    Baada ya kuwafunga England leo , pia waliwasafishia uwanja baada ya mechi https://www.facebook.com/reel/832222049153547
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT Manchester United 3-2 Fulham| England Premier League| Round 24| Old Trafford

    Muda huu Manchester United wapo uwanjani Old Trafford na wanaongoza kwa magoli 3-2 dhidi ya Fulham. Ushindi huu unawafanya kufikisha alama 41 kwenye msimamo wa ligi, huku wakiendeleza rekodi ya mechi tatu mfululizo za ushindi dhidi ya Manchester City na Arsenal, ishara ya kurejea kwa ubora wa...
  18. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania R.I.P. to Christian England!

    islamization has already crossed the rubicon, so sad! most popular names (grafu pichani) for boys in england
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Liverpool yamsajili Alexander Isak na kuweka rekodi Ligi Kuu England

    Liverpool wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United, wakiweka rekodi mpya ya usajili England kwa mara ya pili msimu huu wa joto. Alexander Isak ametangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Liverpool kwa usajili wa rekodi wa £125m kutoka Newcastle kwa Mkataba hadi...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Thomas Tuchel Aitaja Kikosi cha England kitakachowavaa Andora na Serbia kufuzu Kombe la Dunia

    Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kikosi cha wachezaji watakaoshiriki Kombe la Dunia mwezi Septemba. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye nafasi mbalimbali: Goalkeepers: Dean Henderson, Jordan Pickford, James Trafford Defenders: Dan Burn, Marc Guehi, Reece James...
Back
Top Bottom