UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

Achoki

Senior Member
Mar 27, 2013
151
60
Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani;

1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata.

NB: Siyo mara zote.

2. Ukifuata mtiririko huu wa waliochukuwa kombe kuanzia 2006 mpaka 2018 utagundua ni Uingereza pekee ndiyo hajachukua kikombe hiki katika zile ligi tano kubwa za Ulaya.
-Italia
-Hispania
-Ujerumani
-Ufaransa
-?
Naiona Uingereza?

NB: Ni utabiri tu kwa jinsi nionavyo mimi.
 
1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata.

NB: Siyo mara zote.

Hata kama umeweka NB, hesabu zako zinakataa pakubwa sana.

NOTE: Kwenye mabano ni runner up wa EURO.

Spain pekee ndio imefanya hivi mara 1.

2008(Euro winner), then 2010(WC winner).

Pia France imefanya hivi mara 1.

2016(Euro runner up), then 2018(WC winner).

Japo unampigia chapuo England(Runner up wa Euro 2020), mimi nasema tusubiri kama atatusua group stage(proba ni 99%), then knock out stage ndipo tutaanza kuhitimisha
IMG_20221125_112649_124~2.jpg
 
Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani;

1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata.

NB: Siyo mara zote.

2. Ukifuata mtiririko huu wa waliochukuwa kombe kuanzia 2006 mpaka 2018 utagundua ni Uingereza pekee ndiyo hajachukua kikombe hiki katika zile ligi tano kubwa za Ulaya.
-Italia
-Hispania
-Ujerumani
-Ufaransa
-?
Naiona Uingereza?

NB: Ni utabiri tu kwa jinsi nionavyo mimi.
Nadhani bingwa umemuona jana saa 4 usiku, mabishoo halafu wanaujua yani wanakufunga,boli linatembea, vyenga plus mautundu ya soka
 
ENDELEENI KUPIGA LAMLI.

MIMI nimefundishwa subra unyemyekevu, ustahimilivu na uvumilivu.

WAKATI UTATOA MAJIBU.
NI SUALA LA MUDA TU.
MUDA WENYEWE UTAONGEA.
 
England yuko kwenye group la walala hoi yeye akiwa mmojawapo ila wenzake wamechoka zaidi.

Screenshot_20221125-204104_FotMob.jpg
 
Back
Top Bottom