Search results

  1. K

    When it rains, it pours!!

    Nilisikia hii habari juujuu kwa Charlamagne Tha God. Huu ugonjwa si ni Kaswende? Kaswende si inatibika? Mbona anao toka 2012? Au ni ugonjwa mwingine ambao hautibiki.
  2. K

    Tunaomuunga Mkono Magufuli Hatufurahishwi na hizi "Distractions"

    Well said, hakujiandaa kua rais, alikurupuka. Hili linanifanya niamini hata nyie mliokua mnamsapoti mlikurupuka.
  3. K

    Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Pride FM wamefanya kazi nzuri sana, katika vituo karibu 24 nilivosikia Magufuli ameshinda 3 tu, na Mbunge wa CUF ameshinda.
  4. K

    CHADEMA kuna kirusi! Je, unajua kirusi hiki ni nani?! Na the motive behind?

    Nimeisha crack code, ni " madam''....hahaaaa, see in red above.
  5. K

    Lowassa na Wagombea Wengine Waimarishiwe Ulinzi na Uhuru Wao Usibanwe

    Ni ukweli usiopingika mkuu, Obama alianza kula protection ya secret service hata kabla hajawa Democrat nominee, but then ilikua ni nchi ya utawala wa haki na sheria.
  6. K

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Hii ni kashfa kwa UKAWA sio Sumaye tena. Hii ilikua ni pointi kubwa sana ya kummaliza Pombe Magufuli. Sumaye alikua bosi wa Magufuli, sijui atalizungumziaje hili? Kitakachomuokoa hasa baada ya kusemwa sana leo pale Jangwani inabidi naye aje na ushahidi kwamba amri "ilitoka mamlaka za juu". Hapa...
  7. K

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    DC Masala asibweteke na ushindi wa kura ya maoni. CCM wana historia ya kubadilisha matokeo ya kura za maoni na kuweka mgombea wanayemtaka wao kwa vigezo vyao. Hata hivyo jimbo hilo ni la UKAWA mwaka huu.
  8. K

    Magufuli na CCM Mpasukwa, Lowassa na Matumaini, na Nyota ya CHADEMA

    Mkuu umetoa wazo jipya lilotupita wengi. Ajiunge CDM kama mwanachama wa kawaida. That is a possibility, anaweza kuongeza nguvu kwa mgombea wa UKAWA. Akisimama ACT ushindi utakua wa CCM. Ila mpaka dakika hii sijaelewa ni lini Jk aliamua kumpiga chini EL na kwa sababu zipi? inasemekana alikua...
  9. K

    Elections 2015 Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya II " Hana Jipya"

    Mkuu, hili ni swali la karne kama sio la milenia. ni wabunge wachache sana katika historia ya siku za karibuni waliothubutu kupeleka miswada binafsi. Wabunge wengi hawajui kazi ya kutunga sheria ni yao,wao kikubwa ni kulalamikaaaa na mwisho kusema " naunga mkono hoja"
  10. K

    Nasubiri huyu wa CCM akachukue fomu, Arguably the most qualified humo

    Ni msafi ndio lakini nina mashaka na utendaji wake. Sidhani kama ana "earth shattering" maamuzi au utendaji which is what we need right now, ili tuweze kukimbia badala ya kujongea. Namuona ni wale watu wa kufanya kazi kwa mazoea. Sijawahi kusikia maamuzi yake yoyote, for that reason alone, hatufai.
  11. K

    Kim Jong-un ana ndege kama Air force one

    Wanajitahidi, ingawa inaonekana kuukuu kidogo. Obama ataikosa ndege mpya 2017, hiyo ataikwaa Madam Pres. Clinton.
  12. K

    Urais rahisi...

    Msemeni Lowassa kwa yote, lakini si mdini.
  13. K

    Ulevi wa Kina Tibaijuka, Werema na Wenzao Hauondoki Isipokuwa kwa Pingu na...

    Ulevi wa Kina Tibaijuka, Werema na Wenzao Hauondoki Isipokuwa kwa Pingu na kutengwa na jamii. Tuanze na JF kwa kuwapa BAN ya maisha watu wa aina hii. Ni tatizo wananchi tunapowasifia wezi kama hawa na kusema wamepata maendeleo na ni mfano kuigwa bila kujiuliza wamepataje maendeleo yao. Licha ya...
  14. K

    Jua linaelekea kuishiwa mafuta yake, tujipange jamani!

    Huu ni ukweli wa kisayansi,lakini ni baada ya miaka takribani milioni 3000.[ndio, sijakosea, miaka milioni 3000 ] Study: Sun Will End Earthly Life in 2.8 Billion Years Soejoy life, dont stress.
  15. K

    Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

    Ha ha haaa.
  16. K

    URAIS 2015: Pinda Vs Lowassa

    Hakuna maamuzi yoyote magumu aliyowahi kuchukua, but i think that is by design ya mkuu wa nchi. Hataki strong PM ili iwe rahisi ku- deflate weakness za serikali kwa PM.
  17. K

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Tibaijuka wakati anaapishwa kuchukua wizara ya ardhi aliulizwa kuhusu rushwa akajibu " na uzee wangu huu rushwa nikichukua nitaifanyia nini?" . Kumbe hazikua rushwa za kutosha kama hii ya Escrow. Hivi Chenge atatufanya Wa TZ ma..la mara ngapi? Rada amekula,Katiba ameivuraga, na sasa Escrow?
  18. K

    Natafuta girlfriend na mie

    Natafuta msichana na mie kwa urafiki kwanza, na tuki click, tutaanza mapenzi. Naishi nje ya Tanzania ila ningefurahi kama wewe unaishi Tanzania, tunaweza kutembeleana nilipo au ulipo wewe. Sichagui.
Back
Top Bottom