Jua linaelekea kuishiwa mafuta yake, tujipange jamani!

The Sun is using losing 4 billion kilograms of mass a second; as four hydrogen nuclei are converted to a single helium one, this loss in mass provides the energy for the Sun to shine. (Mass and energy are equivalent, as shown by Einstein's famous formula E=mc[SUP]2[/SUP]). Large though it sounds, this mass loss is actually insignificant compared to the Sun's total mass. The Sun's total mass is 2 x 10[SUP]30[/SUP] (or 2 nonillion) kilograms. Another way of looking at the Sun's mass loss is to consider how long it would take for it to "evaporate" at its current rate of mass loss; it would take 14 trillion years. (Remember that the Universe is only about 12 billion years old.) So although the Sun's gravitational pull is reducing, the effect isn't noticeable.

Source:Re: How much fuel does the sun burn per second
 
Ukweli ni kwamba jua nalo lina chanzo chake cha nishati, ambacho kwa kitaalam wanaita 'Hydrogen fuel', kila sekunde inayopita kuna kiwango kikubwa sana cha 'hydrogen' kinachounguzwa na jua ili kuweza kutoa mwanga na joto ambapo inakadiriwa ndani ya miaka kadhaa wa kadha ijayo 'mafuta' hayo yataisha na jua kuzima kama umeme wa TANESCO. Nawasilisha.

DON FRANCIS

Any Source Please
 
umeme wa tanesko, na vyanzo vingine vitatufaa iwapo mfumo wetu wa sayari utaendelea kuwepo.

umeme wa tanesco unazalishwa mitoni. maji yatatokaje baharini na kujaza mito bila kuwepo jua?
halafu elewa kwamba jua ndio chanzo cha nishati zote hapa duniani. jua likizima ndo utakuwa mwisho wa dunia.
 
umeme wa tanesco unazalishwa mitoni. maji yatatokaje baharini na kujaza mito bila kuwepo jua?
halafu elewa kwamba jua ndio chanzo cha nishati zote hapa duniani. jua likizima ndo utakuwa mwisho wa dunia.

mwisho wa dunia kwa namna gani?
Gesi haitakuwepo au makaa ya mawe yatayeyuka?
Kutakuwa na dkk 9 kujua Jua limezimika na labda siku kadhaa kujiandaa na madhara ya baridi kali.

Kunauwezekano mkubwa kwa nishati kuisha duniani katika vizazi 100 kuliko kwenye jua kwa vizazi 100,000,000.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom