TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Ajali za magari Tanzania imekuwa ni kama ngoma ya mdundiko, ikipita mtaani hakuna anaesumbuka kuchungulia. Hakuna anaetaka kujua ajali ilikuwaje kuwaje, na tuna dili nazo vipi kama tatizo la kitaifa.

Mtu kafa kwenye ajali kafa! That's it. Bwana asifiwe na Inna Lilah Waina kibaaao... Nobody cares how it happened. Third world maladies.

Mkuu Ma-CCM hayo hata barabara si unajua wacha tuyape Ma-CCM hii lawama R.I.P brother Mtoi
 
Ni huzuni kubwa kuondokewa na kamanda wetu hasa ktk kipindi hiki kigumu cha kuing'oa CCM! Mungu awatie nguvu wafiwa!
 
Dah.....bonge la msiba jamaa sikuwahi kumfahamu kwa kumuona ila huu msiba umenigusa hatari, nikiri kuwa jamaa ni mmoja wa watu niliofurahia sana kupata like zao hapa jf baada ya kucomment kitu, nilifurahi kupata like yake maana nilijiona point yangu imemgusa mmoja wa watu makini niliopata kuwafahamu hapa jf.......R.I.P KAMANDA MTOI, BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIBARIKIWE.
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa. Poleni chadema, poleni familia, na wote mlioguswa na msiba huu.

Bado sijaelewa chanzo cha Ajali ....lkn watumiaji wa magari tanzania kuweni makini. Kagua Gari yako kabla ya safari, zingatia mwendo, na mengine ya muhimu.
ifike wakati tuseme NO to Ajali zinazoepukika.
 
Ma-CCM haya yamepanga hii ajali R.I.P brother

Mkuu, badala ya kuchunguza chonzo cha ajali ni nini , labda ni barabara mbaya, au ubovu fulani kwenye gari, au uchovu wa driver, na mambo kama hayo. Unasema "labda ni ma ccm " na watu wengi humu wanakimbilia kusema eti ni kazi ya mungu, sio hivyo wakuu! TUTAFUTE KIINI CHA HILI JANGA LA AJALI KILA KUKICHA.
 
RIP Kamanda.... Poleni sana wanaJF wote.... Poleni sana Lushoto... Poleni sana wana ndugu... Poleni sana CDM
 
Wow! Najisikia kama nimepotelewa na kijana wangu, RIP kamanda Mohamed Mtoi umeacha pengo ambalo ni vigumu kuliziba. I still find it hard to believe this! Poleni sana ndugu, marafiki na wana Chadema wote popote pale mlipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom