Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Ila bado mie ntalia na Ripoti alizosema tupewe, bado nasisitiza ziletwe ...
Ya CAG ipo JF kitambo; sema watu waliisoma bila miwani. Iangalie upya thread yangu utaona kuwa ipo kitambo hapa!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Pamoja na kuwa na Imani kubwa kwa mleta mada...lakini aina ya uwasilishaji unaniambia kuwa kan'zi akajafanya home work yake vizuri..arudi tena aje na nondo nzito
 
Ngoja tusubiri tuone kama atafanya kweli au utakuwa ni usanii wa aina nyingine ambao hautafikia hata 1% ya mategemeo ya Watanzania wengi ya kutaka kuona hawa wahuni na wezi wote ndani ya Bunge, Mawaziri, waliomo BoT, na pale mjengoni kwa mwenyewe mwenye nchi ambapo kuna baadhi walichukua mgao wa nanihii anawashughulikia wote bila woga, kuhakikisha wanafilisiwa mali zao ili Serikali iweze kurudisha kila senti iliyoibiwa na pia kuhakikisha bank accounts zao zote zinakuwa frozen.

Passport zao zinachukuliwa kuhakikisha hawatoroki nchini na kuvitaka vyombo husika vya sheria vianze taratibu za kuwapandisha hawa wahuni na wezi kizimbani mara moja na kuhakikisha kesi hazicheleweshwi kwa namna yoyote.

Kinyume na haya Watanzania tutabaki na mguno mrefu Hmmmmmmmmm!!!!! Mtamaliza madobi wote MUJINI lakini kaniki ndio rangi yake.

Tatizo watu wanamu-underestimate JK... kama JK aliweza kumtosa Lowassa, hawezi kushindwa kumtosa yeyote yule miongoni mwa hawa walio kwenye serikali yake!

Hakuna hata mmoja miongoni mwao anayemkaribia EL kwa vile alivyokuwa na JK... Membe, ni kama ana-force tu lakini sio kivile!
 
siyo kumu-underestmate jk ni dhaifu tena mwandamizi kabsaaa, hatua atakazo chukua ni kwa hisani ya watu wa marekani.
 
Endelea hivyo hivyo kuamini kwamba dhaifu huku akina Mbowe kila wakati wakipigwa bao na huyo dhaifu dhaifu!!! Tatizo watu tunahadaika sana na wapiga kelele na mikwala kama akina Mkapa na ndio tunawaona jasiri lakini hata wewe nikikuuliza, Mkapa katika miaka kumi aliyokaa madarakani ameonesha ujasiri gani kwa mafisadi sijui kama unaweza kunitajia unless kama unataka kusema serikali yake ilikuwa safi... au labda kama unamaanisha ujasiri wa kuwanyamazisha wabunge wa CCM kama siku alipopanda ndege hadi Dodoma kwenda kuwachimba mkwara pale walipotaka kuleta nyoko wakati anaipeleka NBC mnadani...
 
Ukiona mada imeanzishwa na Invisible tena usiku. Ujue lipo jambo kuu.

Unaukumbuka ule mnakasha Jenerali Shimb.o na ufisadi wa matrion kwenye a/c za S.A? Mada iliyeyuka.......niseme nini juu ya hii? Hope itatimia maana ushahidi wa mazingira unaelekea huko! Maazimio yalitolewa na bunge yakasimamiwa na donors ambao hawawezi kupingwa na serekali vivu na ya kisanii kama hii ya JMT.
 
Tatizo watu wanamu-underestimate JK... kama JK aliweza kumtosa Lowassa, hawezi kushindwa kumtosa yeyote yule miongoni mwa hawa walio kwenye serikali yake!

Hakuna hata mmoja miongoni mwao anayemkaribia EL kwa vile alivyokuwa na JK... Membe, ni kama ana-force tu lakini sio kivile!

Hakuna kitu km hicho JK atafanya hivyo ili awalidhishe waJOMBA,,,SEFUE alisema watafanya uchunguzi upya tangu aseme hadi ss ni muda gani huo uchunguzi umefanyika cku ngapi hadi sasa ndg tambua NCH hii hatuna viongoz ni Matatizo matupu
 
Macho na masikio yote ya Watanzania zaidi ya milioni 40 yameelekezwa magogoni ili kujua kama safari hii maamuzi yataturidhisha Watanzania au itakuwa ni muendelezo wa usanii mkubwa ulioanza 2005 katika kile kinachojulikan kama kulindana.

.......I can't wait kuona watu wazima chaliiii!!
 
Endelea hivyo hivyo kuamini kwamba dhaifu huku akina Mbowe kila wakati wakipigwa bao na huyo dhaifu dhaifu!!! Tatizo watu tunahadaika sana na wapiga kelele na mikwala kama akina Mkapa na ndio tunawaona jasiri lakini hata wewe nikikuuliza, Mkapa katika miaka kumi aliyokaa madarakani ameonesha ujasiri gani kwa mafisadi sijui kama unaweza kunitajia unless kama unataka kusema serikali yake ilikuwa safi... au labda kama unamaanisha ujasiri wa kuwanyamazisha wabunge wa CCM kama siku alipopanda ndege hadi Dodoma kwenda kuwachimba mkwara pale walipotaka kuleta nyoko wakati anaipeleka NBC mnadani...

Dhaifu ni dhaifu tuu period, hao akina Mbowe kupigwa bao unasema wewe, kama ni bingwa wa mabao akawapige na hao donors tuone ebooo!, kuhusu che Nkaapa naye ni mwizi kama jk utofauti wao ni kuwa jk ni mvivu na ni "play boy". Btw nani alimpa Ndullu go a head ya kuvuna viazi mbatata hadi wabebaji wakatindikiwa na mifuko ya kubebea?, maskini yeye, mvivu yeye,..... Eti na uhuru anautaka!!!??
 
Endelea hivyo hivyo kuamini kwamba dhaifu huku akina Mbowe kila wakati wakipigwa bao na huyo dhaifu dhaifu!!! Tatizo watu tunahadaika sana na wapiga kelele na mikwala kama akina Mkapa na ndio tunawaona jasiri lakini hata wewe nikikuuliza, Mkapa katika miaka kumi aliyokaa madarakani ameonesha ujasiri gani kwa mafisadi sijui kama unaweza kunitajia unless kama unataka kusema serikali yake ilikuwa safi... au labda kama unamaanisha ujasiri wa kuwanyamazisha wabunge wa CCM kama siku alipopanda ndege hadi Dodoma kwenda kuwachimba mkwara pale walipotaka kuleta nyoko wakati anaipeleka NBC mnadani...

Mkuu....wacha kupaparika km KUKU aliechinjwa MBOWE ameingiaje hapa anafanyakazi Serikalini? Watu tunasema JK hana uwezo wakuadhibu wabadhilifu wee unahamisha GOLI uliona wapi Kiongozi anaejitambua akiwaambia WEZI warudishe PESA kisha hakuna KESI rejea EPA watu tunavumila2 kuwa na VIONGOZI wa Dzaini hii huyo MKAPA unaemuongelea siniwahicho CHAMA cha kiJANI? ndio maana cc wengine tunafanyakazi ucku na mchana kuwatoa madarakani Bila hivyo tutangoja sana NCH kuendelea....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom