Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
A.K.A Mzee wa Mikasi...
Akiingia huyu utampitisha vipi yule?
Akiingia huyu utampitisha vipi yule?
Hivi CCM wana utaratibu usio rasmi wa kupokezana mgombea urais kati ya bara na visiwani?
Manake kama safari hii mgombea wao akitoka bara itakuwa ni mara ya tatu mfululizo.
Sijui wana CCM wa visiwani wanalichukuliaje hilo suala?
Huyu ndo the most qualified?
Ile mikasi nayo ni sehemu ya qualification?
Ila huyu kusema ukweli sijawahi kusikia kama ana kashfa za ufisadi (ingawa kutokusikia kwangu haimaanishi kwamba ni msafi).
Hata hivyo sioni ni kwa jinsi gani mgombea yeyote wa CCM ataweza kushinda dhidi ya mgombea presumed wa upinzani.
Think about it... he has been a heartbeat from the Presidency; amesoma (nasikia wapo wanajivunia usomi wao sana) na ukizungumzia experience ya kuendesha nchi n.k sioni nani mwingine anaweza kusema atakavyosema yeye. Hata hivyo sioni ni kwa jinsi gani mgombea yeyote wa CCM ataweza kushinda dhidi ya mgombea presumed wa upinzani.
Inabidi liingie kwenye katiba ya nchi, ili, pale inapokuwa urais ni zamu ya upande fulani wa muungano, basi vyama vyote viweke wagombea urais kutoka upande huo wa muungano!Hivi CCM wana utaratibu usio rasmi wa kupokezana mgombea urais kati ya bara na visiwani?
Manake kama safari hii mgombea wao akitoka bara itakuwa ni mara ya tatu mfululizo.
Sijui wana CCM wa visiwani wanalichukuliaje hilo suala?
That guy is kidding, facts afield already show that the opposition, besides losing the presidential elections, will have a shrinking presence in the parliament!Now this is very interesting....so what are you exactly trying to say there....that this time around the CCM nominee doesn't have a prayer of winning?
Now this is very interesting....so what are you exactly trying to say there....that this time around the CCM nominee doesn't have a prayer of winning?
kumbe muda wote unamtukana lowasa kumbe wewe ni team shein? ana uzoefu upi wa kiuongozi zaidi ya kufungua warsha,semina na majengo? pia si mpole bali ni mwoga,nchi hii sasa inahitaji mtu anayethubutu hata kama inabidi alaumiwe
Mzee,
Wewe endelea tu kuandika makala zako za kichovu. Mambo ya CCM hujui yanaendeshwaje. Hivi kabisa umewaza na kuona wagombea wa upinzani wana nafasi yoyote ya kuingia Ikulu? Serious?
Pia, huyo uliyemtaja hapo kuwa anafaa hana nafasi yoyote kwa bara kuwa rais wa nchi yetu. Ondoa kabisa hayo mawazo yako.
A.K.A Mzee wa Mikasi...
Akiingia huyu utampitisha vipi yule?
huyo ni rais wa nchini zanzibar hawez kwenda kugombea nchi jiran ya Tanganyika!