Shinyanga: Hotuba ya Rais Magufuli uwanja wa Kambarage

Hahahaha ukitaka kujua watanzania ni wanafiki sana fatilia huu uzi wanavyo subiri hotuba ya Magufuli lakini kila leo wanasema hawataki kumsikia..... hahaha Magufuli ni chaguo la Mungu.
weng wanasubiria michambo, makavu live na misemo mipya mipya kama vile [HASHTAG]#mzee[/HASHTAG] bure
 
Aliye na mavazi ya kijeshi ni mpambe lakini huyo wa kushoto ni mlinzi na angalia ukakamau wake.utaona Rais akipewa kitu humpa huyu mpambe au wanamwita ADC.
Tusipende kuchunguza sana haya mambo na wakati mwingine tuwe kama hatuyaoni.
Ndio mashamsham ya U rais.
asante,ila ningependa kumfahamu...
 
Anamuiga mtoto wa mjini JK wakati yeye kuzaliwa shamba hata kuvaa ni shida japo hajui gharama ya mavazi wala chakula
 
Kuna haja ya kukaa na kamusi ya kisukuma,maana,dah!
kuna kile kipande anawasifia wanashytown kwa kipa chama mama madiwani wengi!
ningependa nipate tafsiri!
Ametoa misemo kama minne hv!
 
Elewa hawajaimba nyimbo za dini bali za kumsifu raisi, je hiyo ndiyo injili??
Injili ni habari njema sasa kama wanakwaya wanamsifu Rais kwa mema anayolitendea taifa hili kuna ubaya gani?Wewe mwenyewe unasema wanamsifia na siyo kwamba wanamtukuza.Jamani tusikuze mambo bila sababu.
 
Ukitaka kuongeza watalii huwezi kutegemea Ndege za Jirani....Mpaka sasa tumenunua Ndege 6
 
Back
Top Bottom