Kim Jong-un ana ndege kama Air force one

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,242
113,627
Naona mwana wa Kim Jong 'Mentally' Il naye ana li Air Force One lake lenye 'kila aina ya bells and whistles' hata kuweza kuchuana na lile la Obama.

25B9537D00000578-2955471-image-a-41_1424088343891.jpg


25B91F9C00000578-2955471-image-a-42_1424088348140.jpg


Hapa likiwa kwenye anga ya Pyongyang.....

25B920E700000578-2955471-image-a-43_1424088627765.jpg


Hapa anakagua gwaride akiwa na totoz......

25BBBBE600000578-2955471-image-a-51_1424088746709.jpg


Je, Air Force Un inafua dafu mbele ya Air Force One?

25BBBBB600000578-2955471-image-a-54_1424088768505.jpg


Halafu kuanzia mwaka 2017 kutakuwa na fleet mpya za Air Force One. Pentagon wamechagua Boeing 747-8 kuwa ndo ndege rasmi ya rais wa Marekani kuanzia 2017.

The Pentagon has chosen Boeing's 747-8 to replace the two aging planes that serve as the President's Air Force One fleet.

Air Force Secretary Deborah Lee James said in a statement that the plane, one of Boeing's largest, is the only aircraft "manufactured in the United States [that] when fully missionized meets the necessary capabilities established to execute the presidential support mission, while reflecting the office of the President of the United States of America consistent with the national public interest."

It will undertake the modifications necessary to make the plane ready for presidential flights, including the addition of sophisticated communication equipment and living quarters for the President and his staff.

The plane itself is a rarity - declining demand for the 747-8 has slowed its production to just 1.5 planes per month, according to Bloomberg.

The two Boeing 747-200 planes that the President currently uses will reach the end of their 30-year service life in 2017, and according to The Wall Street Journal, the U.S. Air Force has set aside $1.65 billion between 2015 and 2019 for two replacement jets.

James said that "parts obsolescence, diminishing manufacturing sources and increased down times for maintenance" are all persistent issues that contribute to the need for a new fleet.

http://goo.gl/HG5L80
 
Sioni hizo "bells and whistles" zinazoongelewa zaidi ya watu waliovaa ma bridge coat ndani ya ndege, which means the thing is freezing inside... na halina taa, wasaidizi wasipobeba taa ya mezani ina maana usiku ni giza.
 
sioni hizo "bells and whistles" zinazoongelewa zaidi ya watu waliovaa ma bridge coat ndani ya ndege, which means the thing is freezing inside... na halina taa, wasaidizi wasipobeba taa ya mezani ina maana usiku ni giza

Hahahaaa ndugu mambo mengine si ya kuyachukulia serious kivile.....after all tunazungumzia North Korea hapa.
 
Wanajitahidi, ingawa inaonekana kuukuu kidogo.
Obama ataikosa ndege mpya 2017, hiyo ataikwaa Madam Pres. Clinton.
 
Kim ndani ya Air force Un..pembeni ashtray..Babake alikua anaogopa kupanda ndege,akjitengenezea train.
 
kuna kitabu flani cha picha kinaitwa prongyang review, kinaelezea jamaa walivyokuwa wanaplan mji wao baada ya Korean war. inastaajabisha sana jinsi jamaa walikuwa organized mika ya 50's. tanzania miji iliyojengwa na wakoloni ni mizuri kuliko inayojengwa sasa.

Natamani sana kuatembelea hawa jamaa
 
Kuna sehemu nilisoma wanadai eti baadae mwaka huu ataenda Urusi.

Zaidi ya hilo sidhani kama tokea ashike madaraka katoka nje ya hiyo nchi.

Yaani hao Wakorea Kaskazini wanaishi kama ng'ombe.

Alafu wenyewe wameridhika..


nasikia hakuna social network huko

ni kama wapo kwenye kisiwa tu
 
sioni hizo "bells and whistles" zinazoongelewa zaidi ya watu waliovaa ma bridge coat ndani ya ndege, which means the thing is freezing inside... na halina taa, wasaidizi wasipobeba taa ya mezani ina maana usiku ni giza

Lol!,......Kweli lakini why do they have heavy clothes in the plane?!
 
Nyani Ngabu ,......Cuzzo are those the same ones used by the vice president and the secretary of state when they go out of the country?!, do they share au nao wanazo zao?!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom