CHADEMA kuna kirusi! Je, unajua kirusi hiki ni nani?! Na the motive behind?

Pasco, naomba kwa nia njema kabisa ukipata nafasi muulize rafiki yako Dr. Mwakyembe, kwanini kamati yake haikumhoji Lowasa juu ya uhusika wake kwenye sakata la Richmond ?!
 
Tatizo la Pasco mafumbo meeeengi! Sema tu kuwa kirusi ni Dokta Slaa. Unaficha ficha nini?
Pasco mjanja sana, yaani ni mtoto wa mjini hasa, nilishangaa sana kuukosa u MC pale Arusha, siku ile Rolassa anatangaza nia kwa upande wa CCM,

Anachofanya Pasco ni kutengeneza story ambayo inakuwa na matundu mengi sana, kisha anaiacha hewani akisubiri tukio litokee ili lije kuziba matundu ya Story
 
Last edited by a moderator:

Mode, huu ni uzi
wa 6th April 2013, ambao kwa sasa umefungwa!.

CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?

M
waka huo ulizungumzia tuu kirusi, maadam sasa kirusi hiki kimeshabainika, nadhani ni haki kwa uzi huu ukifunguliwa ili watu wanaodhani huu usaliti ulianza juzi tuu kwa ujio wa Lowassa, wajue usaliti huu, ulianza zamani!, na kuna sisi tuliouona na kuuzungumza tangu zamani bado kinyoka kikiwa bado kidogo, wakati huo kinakula ndani kwa ndani kwa kudonoa donoa tuu, au kinang'ata huku kinapulizia!, ili kidhibitiwe mapema, lakini hatukusikilizwa, hadi leo limekua ni li joka likubwa lenye uwezo wa kumeza!, limekata minyororo na kuanza kuitafuna Chadema kwa nje linataka kuimeza!.

Pa
sco

Nimeisha crack code, ni " madam''....hahaaaa, see in red above.
 
Utabiri-wa-good-news-kwa-chadema-dpp-ataifuta-kwa-nolle-ile-kesi-ya-ugaidi-ya-lwakatare by Pasco wa JF!
 
Kuna baadhi ya watu wanaamini hizi story eti Dokta Slaa alikuwa kirusi!

Taifa hili kwa kiwango kikubwa limefirisika kifikra na kimtazamo!

Nguvu ya pesa kwa sasa inawafanya baadhi ya watu wachache kulihimili soko na kuuza fikra potofu.

Haifahamiki athari za gharama ya hizi fikra potofu lakini kinachofahamika ni malengo yake.

Upumbavu umekuwa werevu!
 
Ila yule mke wa slaa yule ananipa wasi wasi sana, hata anavyoongea ongea tu inaonekana kuna kitu na yupo na slaa kimaslai sana
 
Nilianza kumshuku yule MAADAM kama alivyomwita Pasco pale kulipoibuka tuhuma za mtu kuingia ktk mfumo wa computer ya Dr Slaa,mengi yalizungumzwa lkn mimi mtuhumiwa wangu namba moja alikuwa yule MAADAM na nakumbuka niliwahi kutoa angalizo kwa CHADEMA kuwa macho naye kwani yawezekana yupo hapo kwa kazi maalum ya kumpoteza Dr Slaa kisiasa na kuhihujumu CHADEMA,mwaka mmoja baadaye ndo haya yameibuka.

Pasco bana,eti Y=Z,let me crack it in my own way,Y is as equal to Z as Husband is to the Wife!!!
 
Sasa naona aise, ila kitengo kwenye hili nimewakubali, ila mwisho wa picha atamkimbia SLAA baada ya kazi kufanyika nusu, maana SLAA angeteuliwa na ukawa tu, ccm wangerudi madarakani kiulaini sana, maana mipango yote angeikamilisha, ingeshindikana kabisa labda angemcadava kati kati ya safari, ni hatari lakini salama
 
Back
Top Bottom