Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Pride FM wamefanya kazi nzuri sana, katika vituo karibu 24 nilivosikia Magufuli ameshinda 3 tu, na Mbunge wa CUF ameshinda.
 
Sure mkuu.

Yaani mikoa masikini imetuangusha sana... mi naombea hii nchi iendelee kuwa ya mwisho duniani....
Naomba tu kama ikitokea kura yangu imeshindwa basi tena tubakie hivi hivi.
Omba omba, elimu duni
Afya duni...
Nina hasira sana
 
Manispaaa ya Mtwara

Katika kituoa cha magomeni shuleni mambo yameanza hali ya amani ni shwali kabisa watu wamejitokeza kwa wingi kuhakikisha wanatimiza haki yao ya msingi wanayoipata mara moja ndani ya miaka 5

= shwari
 
Yaani mikoa masikini imetuangusha sana... mi naombea hii nchi iendelee kuwa ya mwisho duniani....
Naomba tu kama ikitokea kura yangu imeshindwa basi tena tubakie hivi hivi.
Omba omba, elimu duni
Afya duni...
Nina hasira sana

Hali ilivyo ni ngumu sana.Na hii mbinu ya NEC CCM( Tume ya Uchaguzi) kuchekewa kutangaza matokeo kusudi ,ili wachakachue watangaze matokeo wakati wavuja jasho hawapo vituoni.
 
watu wamejazwa hofu ila askar wenyewe jana walikuwa pamoja na watanzania ila wao walikuwa wanatimiza majukumu yao ya kazi wala hawakuwa na shari na mtu hususan ktk eneo langu, na diwan kapita wa ukawa,
 
Hali ilivyo ni ngumu sana.Na hii mbinu ya NEC CCM( Tume ya Uchaguzi) kuchekewa kutangaza matokeo kusudi ,ili wachakachue watangaze matokeo wakati wavuja jasho hawapo vituoni.

Kiukweli matokeo mengi yaliyotoka ni ngome kuu za ccm na huko wao ccm kuongoza si ajabu hata...
Bado
Mbeya
Dar
Mwanza
Iringa
Arusha
Kilimanjaro
Tabora
Kagera
Huko pote bado matokei hayajatoka tuwe na subira kiasi
 
If we fail this time, its over for us.....we shall become slaves

Never allow anyone to enslave you in your own country.
That is foolly beyond measure.
We need to instil a culture of making leaders responsible and accountable for their actions.
The citzenry has power and a responsibility which they have abdicated. We have become a nation of cry babies.
Hell no, dont let your leaders become demi gods.
Don't allow it.
Never.
 
[06:11, 10/26/2015] George Mwaipungu ✌: majimbo yaliyo kamilika mpaka sasa ni : mikumi CDM
: Morogoro mjini CCM
: Karatu CDM
: Jimbo la moshi CDM
: Tarime CDM
: Bunda CDM
: Tandahimba CUF
: Arumeru CDM
kigoma mjini ACT :mbeya mjini CDM
[06:11, 10/26/2015] George Mwaipungu ✌: GOOD NEWS

FOR THE FIRST TIME SINCE INDEPENDENCE

SIMANJIRO. .CCM OUT BYE BYE OLE SENDEKA

BUNDA. ...CCM OUT BYE BYE STEVEN WASIRA

UKONGA ....CCM OUT BYE BYE JERY SILAA

MBEYA VIJIJINI. ....CCM OUT

MONDULI(THE HOME OF THE MAN,LOWASA).....CCM OUT BYE BYE NAMELOK SOKOINE

MTWARA MJINI. ....CCM OUT BYE BYE WHAT EVER

PEMBA YOOOOTE .....CCM OUT

TANGA MJINI .....CCM OUT

VUNJO ........CCM ? TLP OUT

TUNDUMA. .....CCM OUT

MIKUMI .........CCM OUT

UNGUJA .....IT'S LOADING VERY FASTER.
 
ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update'
ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
kule kata ya MBEMBA LEO (MTWARA V) hali ni tete baada ya mgombea udiwani kupita kwa kura 4 tu,wananchi wachoma moto nyumba za viongozi wa CCM
 
Back
Top Bottom