Search results

  1. Kaa la Moto

    Nani anavujisha mikataba ya siri inayosainiwa na Serikali ya Tanzania na Waarabu? Lengo lake ni nini?

    Hakuna siri yoyote ila wizi tu ambao mwisho wa siku inaitwa siri. Hivi watanzania lini ujinga utatutoka? Kwa nini mikataba iwe siri kama inatuhusu? Tumefanywa wajinga sana
  2. Kaa la Moto

    Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Na hapa ndipo tunaona umuhimu wa katiba mpya kumaliza kila upumbavu unaoanzishwa na wana ccm hapa bara.
  3. Kaa la Moto

    Nehemia Mchechu ni kiongozi mwenye maono

    Ufanisi kwenye mashirika utakujaje kwa kujaza hawa uvccm kama waongoza mashirika? Mpaka akili ikitukaa sawa tukaachana na hilo lichama. Nchi itadunda
  4. Kaa la Moto

    Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

    Mnavuna mlichopanda. Tumieni akili kidogo na kusikiliza ushauri
  5. Kaa la Moto

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Namkumbuka kwa udikteta uchwara
  6. Kaa la Moto

    Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

    Nenda chato utaikuta
  7. Kaa la Moto

    Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

    Mbwa wa chato tu hawataamini
  8. Kaa la Moto

    Tunapoelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 CCM wameacha kumsimanga Magufuli sasa wanamsifia. Kumetokea nini?

    Jamani mwacheni kajifia mhuni yule. Hii ya kutisha watu haitaondoa ukweli kuhusu mapungufu makubwa ya huyo jamaa yenu. Kama watu watakataa kunichagua kwa sababu ya mhuni huyo waache. Shauri yao.
  9. Kaa la Moto

    Nyimbo za Tanzania zatumika kuhamasisha maandamano Kenya

    Wee jinga kweli. Wewe kwani mpinzani? Nani anakuzuia? Fanya siasa zako.unazoona zinafaa usilete visingizio
  10. Kaa la Moto

    Sheria mpya ya penati kikwazo kwa makipa

    Kiria ndio nini?
  11. Kaa la Moto

    Godbless Lema wewe ni nani mpaka useme utashughulika na Geordavie?

    Jifanye unamuachia Mungu alafu wewe na yeye wote mtajikuta kwenye gadhabu ya Mungu mwenyewe uliomtaja!
  12. Kaa la Moto

    Rufaa ya kina Sabaya yashindwa kuendelea leo Februari 20, 2023

    Hili ni funzo kubwa sana kwa wajinga kama Sabaya. Nadhani kuna wengine nao walistahili wawe rumande kwa ku abuse madaraka ikiwa ni pamoja na yule jaji aliyekuwa dpp anayeitwa Biswalo.
  13. Kaa la Moto

    Wafungwa wa Tanzania sasa ruksa kupiga kura

    Kwa wachezea katiba hawa, hata hili watalidharau. Nchi hii inatakiwa viongozi wapate hukumu ya moto kwa Mungu. Hawatekelezi viapo! Wanaichezea katiba kama kitu ambacho ni useless!
  14. Kaa la Moto

    Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

    Bila kusahau na yeye anahusika kwa asilimia 100 na rafiki yake mwenda zake.
  15. Kaa la Moto

    Hili la yanga kukataa mpira kutangazwa redioni limekaaje?

    Zitaponza vipi? Kwani tbc ni kitu gani? Wanajiita television ya taifa huku wanatengeneza pesa? Walichukua haki ya redio zingine kwa kutumia pesa ya walipakodi na hawataki kuilipa Yanga? Nawapongeza sana Yanga kwa kazi nzuri.
  16. Kaa la Moto

    Halima Mdee na wenzake wapinga kuhojiwa na Wakili Kibatala, wadai wao ndio Wana haki ya kuihoji CHADEMA

    Si kupoteza muda tu. Itapoteza na pesa nyingi za walipa tozo
  17. Kaa la Moto

    Halima Mdee na wenzake wapinga kuhojiwa na Wakili Kibatala, wadai wao ndio Wana haki ya kuihoji CHADEMA

    Lakini tutakuwa tumeshawafamu kama tulivyomfahamu yule polisi kuwa ni debe tupu kwa pgo
  18. Kaa la Moto

    Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

    Uliza pesa za wafanyabiashara benki zilikwenda wapi pia? Uliza matrilioni ya mikopo yalikwenda wapi pamoja na kodi lukuki alizokuwa anatutangazia kupata. Huyo mjanha abaki huko huko kaburini ametusababishia matatizo mengi. Mkitaka Samia aseme vyote mtakufa mapema.
Back
Top Bottom