Godbless Lema wewe ni nani mpaka useme utashughulika na Geordavie?

Mpaka 2025 watakuwa wamemaliza pesa za Samia. Watatengeneza mazingira ya kupewa tena pesa kipindi ambacho watakuwa wanajiandaa kwa ajili ya ubunge na urais.

Katika kipindi hiki Lema atakuwa bize kuhamasisha maandamano na vurugu nyinginezo. Na hapa ndipo utalii na shughuli nyingine za kiuchumi zitaanza kuchungulia shimo tena.

Zitaanza kusikika jauli za nchi haitatawalika na nyinginezo. Hapa utakuwa pia unatafutwa ubunge wa lazima.

Baada ya uchaguzi wasipopata majimbo hali itakuwa tete kwa watawala maana tayari wameshapewa vya kunyonga.

Kipindi ndio huyu mama kama atakuwepo basi atakuwa kapita kwa kushindanishwa na wengine.

Aandae fungu la kutosha kuwatuliza wapinzani wake wa vyama vingine.
 
Lema Ni Nani?
Alimwambia Magufuli asipoacha Mambo yake ya hovyo hakika Atakufa na akafa, alimwambia Sabaya aache Mambo yake ya hovyo siku akiwa katika mkono wa Dola Magufuli sio Mungu batakua hayupo! Na yote yametokea na tumeona Sasa leo unauliza Lema Ni Nani amewambia boda Boda Ni kazi ya Laana with facts mmetoka mashimoni Kama panya still unauliza Ni Nani? Mmesahau Lema alisema Bungeni kuwa ameota ******** amekufa kwani hakufa kweli endelea kuuliza hii sakos ya Geodavie ambaye amewekeza samunge na wote wataenda kusali kwaeke na mapato watakyopeleka Kama sadaka hata halmashauri haiwezi kukusanya (fursa) kwenye dhiki penyeza rupia
Mpiga ramli kwa waganga tu,hana issue.
 
Kwa nini wanasiasa wa vyama vingine Nje ya chama kinachoogoza serikali hawataki kuitwa wanasiasa wa vyama shindani?? Wanapenda kujiita wanasiasa wa vyama vya upinzani?

Kujiita mwanasiasa wa upinzani inaondoa maana nzima ya nia ya kutwaa madaraka ya kuongoza nchi. Upinzani ni neno linaloambatana na mtazamo hasi sana mbele ya umma. Jitangazeni ni wanasiasa shindani hii itawaondolea uhasi utokanao na kujiita wanasiasa wa upinzani!!

Ni mtazamo wangu tu! Waweza kuuchukua ama kuupiga chini kwa povu ama bila povu. Asante.
Wahuni
 
Ila kazi ya mbunge nikuishauri na kuisimamia serikali ikiwemo kutunga sheria.

Suala la kutotengeneza miundombinu,kukosa maji na vituo vya afya nk.

Sio kazi ya mbunge bali nikazi ya serikali
Kumbukatu wapo wabunge wanaongea sana bungeni.

Wakati fulani ilikuepo dhana ya kukomoa wapinzani kwenye majimbo yao.
 
Kwani hiyo ccm iliyokutapeli toka uhuru na unazidi kuikumbatia imeshindwa kujenga stendi za kisiasa, uwanja wa ndege wa kimataifa na kutatua changamoto zenu? Kama inakusanya Kodi toka uhuru na imeshindwa, kwa nini umlaumu Lema? Au ndo kuwa na akili ndogo kunakusumbua?
Umevuta bangi ni mbaya sana
 
Hapo vip!!
Binafsi huwa simuelewagi Lema, namuona kama kiongozi tapeli anaetumia siasa kutengeneza maisha yake.

Na mimi niwasihi watu wa Arusha wafikiri nje ya box, wampuze huyu tapeli asiyekuwa na uchungu na changamoto za watu wa Arusha.

Huyu mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka kumi na tano lakini ukimuambie akuonyeshe hata kimojo alichowafanyia wananchi wa Arusha hakuna, ukiingia kwenye miundombinu hakuna, elimu hakuna, afya hakuna, kilimo hakuna labda amewasaidia kuwapa mbinu ya kukwpa kodi wale wafanyabiashara ambao ni ndugu zake pale Arusha.

Mji wa Arusha unaendelea kudumaa kwasababu ya siasa za kiharakati zinazofanywa na Lema.

Lemo hana uchungu wala nia njema ya kuwa chachu ya maendeleo Arusha, kwasababu mji huu ingepata kiongozi mzalendo leo tungekuwa na stand mpya siku nyingi, tungekuwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa, masoko ya kisasa, hosp zenye viwango bora kabisa nitaje tu hivyo vichache.

Lema haoni sababu ya kuisemea Arusha katika mambo mengi kwasbabu sio mzalendo wa Arusha ila anatumia nafasi hiyo kwa maslahi binafsi. Nadhani pia kwasababu sio mtu wa Arusha. Labda ingekuwa ni mbunge wa machame huko kwao angefanya vizuri.

Bora nabii Geodevi alionyesha kuguswa na changamoto za watu wa Arusha na akatoa pesa kuwasuppoti wafanyabiashara wadogo walionguliwa pale samunge, ila Lema hajawahi kutoa hata elfu 10 kwa ajili ya wafanyabiashara wale. Sasa najiulize kuna ubaya gani mtu kuwasaidia wanyonge kama wale.

Alafu anamshambulia mtumishi wa Mungu utadhani yeye anamlaka hapo Arusha ya kumzuia mtu yeyote asifanye jambo. Hapa kuna tatizo la elimu pia.

Kiongozi bora na mwenye akili ni mwenye uwezo wa kuja na mpango mkakati wa kuwezesha boda boda wachane na kazi ya bodo na kufanya kazi iliyobora kuliko hiyo kutoka na wazo au plan ya huyo kiongozi..

Yeye emetoka huko canada, utafikiri yeye ndio mtanzania wa kwanza kuishi huko alafu anakuja kutukana boda bodo, hapa umekosea sana, ungetakiwa ushauri kazi nyingine ya kufanya na sio kuwadharirisha kwa namna ulivyofanya, we mwenyewe ulikuwa mtu shida sana, tunakujua ulivyopata ubunge ndio umebadilisha maisha.

Geodevi ameweza kufanya jambo kubwa kwa muda mfupi akakushinda wewe uliyepewa ubunge kwa miaka 15, nadhani huo ubunge ulikuwa kwa ajili yako na familia yako.
This is super nonsense...
 
Kwa nini wanasiasa wa vyama vingine Nje ya chama kinachoogoza serikali hawataki kuitwa wanasiasa wa vyama shindani?...
Mama amesha tufundisha Kiswahili vizuri.

Ni juzi tu amesema ni Ushindani, sio Upinzani!

Tangu kuanza kwa vyama vingi vya Siasa, tulikuwa bado hatujajua Kiswahili mpaka Mama alipotufundisha juzi!.

Hiyo ni ishara ya Kiongozi Bora na mwenye mtazamo chanya wa Nchi yake.
 
Hawa manabii angeachana nao ajui Mungu gani yupo nyuma yao KILA mmoja ni mwamba eneo lake
 
Usimlaumu lema ccm ilisema haipeleki maendeleo majimbo ya upinzani hata mtoto wa dada alirudia hili kila mara, pili Lema hakusanyi ushuru wa maendeleo
 
Wanaomtetea GD EBU kwanza wawapeleke wake zao wakavuuliwe nguo na kupewa milioni ndio waje hapa kumponda Lema.
 
Wanaomtetea GD EBU kwanza wawapeleke wake zao wakavuuliwe nguo na kupewa milioni ndio waje hapa kumponda Lema.
Binafsi sijawahi hata kufika kwenye kanisa la Geordevi..wala sijui lipo wapi.

Nasikia aga tu kisongo..ila penye kunyoosha pito lazima tunyooshe.

Kuhusiana na mara nabii wa uwongo hilo namuachia Mungu(Jehova)
 
Binafsi sijawahi hata kufika kwenye kanisa la Geordevi..wala sijui lipo wap.
Nasikia aga tu kisongo..ila penye kunyoosha pito lazima tunyooshe..kuhusiana na mara nabii wa uwongo hilo namuachia Mungu(Jehova)
Jifanye unamuachia Mungu alafu wewe na yeye wote mtajikuta kwenye gadhabu ya Mungu mwenyewe uliomtaja!
 
Jifanye unamuachia Mungu alafu wewe na yeye wote mtajikuta kwenye gadhabu ya Mungu mwenyewe uliomtaja!
Mungu hana akili kama yakwako na awazi kama wewe, wewe ni nani mpaka uwe na mamlaka ya kuhukumu binadamu..kama sio unatumia mapenzi yako na Lema kuja kutia tia huruma hapa..we umekamilika au mtakatifu...shame upon you idiot.
 
Huyu mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka kumi na tano lakini ukimuambie akuonyeshe hata kimojo alichowafanyia wananchi wa Arusha hakuna, ukiingia kwenye miundombinu hakuna, elimu hakuna, afya hakuna, kilimo hakuna labda amewasaidia kuwapa mbinu ya kukwpa kodi wale wafanyabiashara ambao ni ndugu zake pale Arusha.


Bora nabii Geodevi alionyesha kuguswa na changamoto za watu wa Arusha na akatoa pesa kuwasuppoti wafanyabiashara wadogo walionguliwa pale samunge, ila Lema hajawahi kutoa hata elfu 10 kwa ajili ya wafanyabiashara wale. Sasa najiulize kuna ubaya gani mtu kuwasaidia wanyonge kama wale.
Ndugu Tajiri Tanzanite,

sipingani sana na maandiko yako.

1. Ni kweli lema amekuwa Mbunge kwa miaka 10, hivi kazi ya mbunge ni nini? kujenga miundombinu, Afya na elimu?.
Mbona ccm iko madarakani kwa mikaka 60 sasa na bado kuna shida hiyo ya miundombinu, afya na elimu? hivi majimbo yote ya wana ccm wabunge hawana shida kwenye maeneo hayo?

2. Hili la Geordavie, msaada mzuri ni ule unasaidiwa bila kutangazwa ndugu. Nakupa msaada baada ya kuchora tatoo yangu? iko sawa kweli? Hivi hizo pesa za kusaida waumini anazitoa wapi?.
Namna nzuri ya kumsaidia mtu, mpe jembe akalime sio kumpa chakula!! kama anapesa kwa nini asijenge shule, au vituo vya afya kisha waumini na watu wengine wakapate elimu,tiba kama makanisa mengine?
HII YA KUTUKUZA MTU BADALA YA MUNGU, NI USHETANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom