KAPILIGI
Member
- Sep 29, 2015
- 66
- 85
Apewe muda.Huyu jamaa Ana akili sana anatazama mambo kwa ufanisi mkubwa kwa faida ya nchi ni mtu anaitazama nchi kwa mbele sana nafasi aliyopewa na Rais amepatia sana, ni msomi mwenye uzoefu mkubwa anajua nini kinatakiwa kufanywa kwenye mashirika ya umma, mbali tu na kutoa huduma lkn ya natakiwa kutoa faida na kujitegemea na kuongeza kasi ya maendeleo bila kutegemea hela kutoka serikali kuu, vision yake kubwa anataman haya mashirika ya umma ikiwezekana hata Mishahara Yao wasitegemee serikali kuu Bali kama taasisi zinaweza kujiendesha kwa faida na wakati huo huo wakitoa maendeleo, so far Ofisi ya msajili imepata mtu Genius.
Itoshe kusema ofisi ya TR imepata mtu Genius mtu makini na mwenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa. Ni mbunifu sana mbali na kua na uwezo mkubwa kiakili lkn anaonekana anapenda kujifunza kwa wengine na ana wivu wa kufanya vzr kwenye majukumu anayopewa.
Nimependa sana strategies za ofis ya hazina ktk kusimamia mashirika ya umma na ufatiliaji yakinifu, building capacity kwa secta Zilizopo na kutumia watu tofauti Hata Kama yupo taasisi ingine lkn anaonekana ni beneficial kwa taifa.
Naamini kwa kipind atakachokuepo kwa hii ofisi watu wengi wataijua majukumu yake kwan wengi Walikua Hawajui majukumu ya hii ofisi ya msajili wa hazina, Msechu ni mtu anayependa kushare anachokijua kwa wengine anapenda anachokifanya kwenye ofisi watu wakijue Alifanya hivyo alipokua shirika la Nyumba na anafanya hivyo akiwa ofisi ya msajili wa hazina hii inaonesha sio mchoyo wa kugawa knowledge, Anapenda ku transfer knowledge kwa watu wengine.
Bila Shaka ni mtu mwenye uwezo mzuri wa ku bran taasisi anazosimamia mfano leo hii ofisi ya msajili wa hazina Itakua inajulikana pamoja na majukumu yake. Amejitahd pia kuwahimiza ma CEO na Wenyeviti wa board ku brand taasisi zao kwa kuonesha na kusema wanayoyafanya.
Effectiveness, creative leadership, and strategies ni vitu muhimu sana kwake.
Hongera Nehemia Mchechu.