Yule ni masta kabisa.Martinez mwamba sana
Kwa hiyo kazi ya upande pinzani ni kumsaidia mpiga penati dhidi yao kuwafunga vizuri?Zipo sheria za mpigaji vilevile lakini mpigaji ndo anakua na presha kubwa ukimvuruga kidogo anatoka mchezoni kabisaa
FIFA wanaleta upuuzi unaoelekea kuharibu ladha ya soka. Huo ni mwanzo wa kuanza kutunga sheria nyingi za hovyo.Anaandika KENGE,
Mamlaka ya kutunga sheria za mpira wa miguu IFAB imetunga sheria mpya baada ya maboresho na malalamiko kwa wachezaji kwa baadhi magoli kipa kuwavuruga kisaikolojia kabla ya kupiga mkwaju.
Ikumbukwe GK wa A.Villa na Argentina(Martinez) amekuwa na mbinu ya kuwavuruga wachezaji kisaikolojia kwa matendo yake kama vile kuwatisha, kwenda kushikashika mpira, kushika nyavu n.k.
Martinez aliwahi kuwavuruga Manchester united baada ya kupata mkwaju kwenye malumbano alimfata Ronaldo akamwambia "Nataka uje upige wewe mkwaju" CR7 alikataa na kumwachia Bruno apige na akakosa pia. Martinez aliwavuruga kisaikolojia France kwenye hatua za matuta Kombe la dunia, vilevile aliwavuruga brazil kwenye Copa America na wengine wengi.
IFAB imefanyia maboresho sheria hii kama ifuatavyo:
~ Kipa haruhusiwi kushika nyavu au post kabla ya penalty kupigwa.
~ Kipa haruhusi kuvuka msitari wa (crossbar line) kabla ya kupigwa penalty.
~ Kipa haruhusiwi kumpanikisha au kumuongelesha mpiga penalt kabla ya penalty.
~ Kipa akae katikati ya goli na kumtazama mpiga penalt.
Je, sheria hii sio kikwazo/kifungo kwa Magoli Kipa?
CC KENGE 01
Nawasilisha.
View attachment 2567027
Captain Marvelous umeona hii Mkuu?Anaandika KENGE,

Kiria ndio nini?Sheria za kikuda kabisa zimetengenezwa specific baada mind games za Martnez kuweka rekodi za kipekee kama kipa bora na mwenye mafanikio.
Kiria wa fifa mtu duni kama kiria wa hapa bongolala.
Mbona ndo sheria hiyo mchezaji anapotoka kukimbia ili apige penat haruhusiwi kusimama au kutishiaWapigaji wasiruhusiwe kutishia! Akitishia ihesabike kuwa keshapioga tayari na kukosa goli!! Au akitishia wachezaji waruhusiwe kumkaba!