JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Mnyika amelalamika kwa nani?
..huenda hakuna aliyegushi saini ya Mnyika.
..upo uwezekano Halima na wenzake walikwenda kuapa kufuatia amri kutoka juu.
Mnyika amelalamika kwa nani?
Wakili wa Halima Mdee na wenzake amesema kisheria wateja wake 19 ndio wameishtaki Chadema na kwa sababu hiyo wa
Hivi kuna mtu yeyote jasiri ambaye anakubali kuhojiwa na Kibatalao ndio Wana haki ya kuihoji Chadema Siyo kuhojiwa
Kesi umeahirishwa hadi Ijumaa ijayo na Jaji amewataka akina Halima Mdee na wenzake wasije mahakamani hadi watakapoambiwa baada ya pingamizi kuamuliwa.
Chanzo: ITV
Pia soma - Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao
ChebukatiHivi kuna mtu yeyote jasiri ambaye anakubali kuhojiwa na Kibatala
Ni kweli maana makabila mawili tu makubwa kenya ndio yanaweza kuwapatika wakenya Rais.Tuwaige kabisa wako vizuriYaani tukiangalia uchaguzi wa Kenya na siasa za Tanzania inatia huruma!
Ni kweli maana makabila mawili tu makubwa kenya ndio yanaweza kuwapatika wakenya Rais.Tuwaige kabisa wako vizuri
Ili wamkwepe labda waubwage ubunge mchongo🤣🤣🤣Unataka kazi bandarini halafu unaogopa honi za meli ! hivi unawezaje kuishitaki Chadema Mahakamani halafu ukataka umkwepe Kibatala ?
Wanapoteza muda. Wawe tayari kujibu maswaliWakili wa Halima Mdee na wenzake amesema kisheria wateja wake 19 ndio wameishtaki Chadema na kwa sababu hiyo wao ndio Wana haki ya kuihoji Chadema Siyo kuhojiwa
Kesi umeahirishwa hadi Ijumaa ijayo na Jaji amewataka akina Halima Mdee na wenzake wasije mahakamani hadi watakapoambiwa baada ya pingamizi kuamuliwa.
Chanzo: ITV
Pia soma - Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao
Lakini tutakuwa tumeshawafamu kama tulivyomfahamu yule polisi kuwa ni debe tupu kwa pgo2025 ndiyo watatoka bungeni.Watakaua washaaandaliwa mazingira ya vua gwanda,vaa gamba la kijani,wanapewa vyeo,wanatulia.
Lengo lao la kutokaa bila kazi,litakua limetimia,mtaani kugumu.Lakini tutakuwa tumeshawafamu kama tulivyomfahamu yule polisi kuwa ni debe tupu kwa pgo
Si kupoteza muda tu. Itapoteza na pesa nyingi za walipa tozoHiyo kesi ina maslahi na serikali, na kesi yoyote yenye maslahi na serikali hasa ya kisiasa dhidi ya wapinzani, tegemea mizengwe tu huko mahakamani ili kupoteza muda. Kesi ya uchaguzi wa urais hapo Kenya itaendeshwa haraka na uamuzi utatolewa, huku ya kina Mdee ikiendelea kupotezea wetu muda. Anayetegemea maamuzi yaliyo kinyume na matakwa ya serikali kwenye hizi mahakama kibogoyo anapoteza muda wake.
Ndio hivyo. Wakishamaliza kuhoji na wao watahojiwa tu. Kwa kuwa wamefungua kesi, lazima madai na vielelezo vyao vihojiwemambo ya kesi hayajawahi kuwa rahisi kihivyo , watake wasitake watahojiwa
Sasa nimeelewa Kwa nini lugha hii wameing'ang'ania mpaka Leo kwenye sheria.Affirmati Non Neganti Incumbit Probatio
🙆♀️🙆♀️Sasa nimeelewa Kwa nini lugha hii wameing'ang'ania mpaka Leo kwenye sheria.
Siamini kama Wachina na Wakorea nao wana upumbavu huu.
Hao 19 wamejizika kisiasa. Hapo target yao kubwa mzigo baada ya kustaafu ubunge na posho posho hizoNi utaratibu wa kisheria
Kuna kitchen cabinet inaendesha hii kesi. Awali hitaji la kuwahoji Halima na wenzake lilikubalika bila pingamizi. Kitchen cabinet baada ya kutafakari ikaona huko ni kubaya na sasa wamekuja na sarakasi hii hii. Bila shaka maandalizi yote yamefanyika kabla ya kuleta sarakasi hii. Unajisi wa mahakama unaendelea.Hiyo kesi ina maslahi na serikali, na kesi yoyote yenye maslahi na serikali hasa ya kisiasa dhidi ya wapinzani, tegemea mizengwe tu huko mahakamani ili kupoteza muda. Kesi ya uchaguzi wa urais hapo Kenya itaendeshwa haraka na uamuzi utatolewa, huku ya kina Mdee ikiendelea kupotezea wetu muda. Anayetegemea maamuzi yaliyo kinyume na matakwa ya serikali kwenye hizi mahakama kibogoyo anapoteza muda wake.
Kuna kitchen cabinet inaendesha hii kesi. Awali hitaji la kuwahoji Halima na wenzake lilikubalika bila pingamizi. Kitchen cabinet baada ya kutafakari ikaona huko ni kubaya na sasa wamekuja na sarakasi hii hii. Bila shaka maandalizi yote yamefanyika kabla ya kuleta sarakasi hii. Unajisi wa mahakama unaendelea.