sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Leo usku sikupata usingizi baada kupata taarifa kutoka U tube zikimuonesha Mh Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa mkoani Geita kwenye Moja ya Mikutano yake ya hadhara alidai yakuwa kuna mkataba mwingine umesainiwa, Kati ya waarabu na Serikali ya awamu ya sita.
Mkataba huu Unahusu kutunziwa misitu yetu yaani waarabu ambao kwao ni jangwa tupu leo hii wamesaini mikataba ya kuja kututunzia misitu yetu ya hifadhi.
Najiuliza
Maafisa misitu weto Tanzania nao wameshindwa kutunza misitu yote?
Je, waarabu wa Dubai wanataka kutuletea roboti kuja kutunza misitu?
Aise
Najiuliza ni Nani anavujisha mikataba hii kutoka Ikulu na ana Nia gani na nchi yetu?