Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,009
45,520
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.

Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
 
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za kivule na bomba mbili Hadi kwa mkoremba watu wamevunjika migongo barabara chafu hazina lami , mashimo hivi unakwama wapi yaani nyie CCM Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni
Mwanagati ni balaa!
 
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.

Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
Stakishari yote zaidi ya miaka 30 hakuna repair jiji la Dar? Lakini nasikia kuna mradi wa DMDP Ngoja tusubiri tuone.

Mh Slaa una kazi kubwa mbele yako
 
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.

Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
 
Attachments

  • IMG-20230404-WA0025.jpg
    IMG-20230404-WA0025.jpg
    41.7 KB · Views: 9
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.

Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
Acheni ushamba, mbunge hajengi barabara.
Yeye hawezi kuamuru barabara zijengwe jimboni, sana sana atashawishi fedha ikipatikana.
 
Nadhani na ISSA MTEVU hatorudi Kibamba, haiwezekani barabara za Mbezi mvua hii hazipitiki.
 
Inasemekana lakini.... Toka aingie huyu mama hakuna barabara yoyote ya maana iliyojengwa nchi zima. So terrifying
 
Kilio cha barabara mbovu si cha Jimbo la Ukonga pekee hata huku kwetu Jimbo la Kibamba yaani ni kero juu ya kero na inavyoonekana ujenzi wa miundombinu ya barabara sio kipaumbele cha Serikali ya awali ya SITA ukiangalia hata kwenye Miradi ya barabara inaenda kwa Kasi ndogo mno makandarasi wanafanya wanavyojisikia .

Acha na barabara za mchepuko ring roads barabara kuu ya kutoka pale Kimara mpaka Kibaha mpaka sasa ni kalenda Tu zinapigwa kuhusu kukamilika kwa barabara hiyo baadhi ya vivuko hakuna traffic lights 🚦 mpaka wanafunzi wapoteze maisha kisha wakazi WA maeneo hayo wakireact ndio wanachukua hatua mfano Kituo kiitwacho kwa Komba baadhi ya wanafunzi walipoteza maisha lakini baada ya wananchi kuchachamaa waliweka traffic lights hii inaonyesha wazi kutokuwa serious na road infrastructures mpaka sasa sijajua first priority ya Serikali hii lakini ya Mzee Magu ilikuwa miundombinu ya barabara kwa ujumla
 
Wakurekebisha barabara ni waziri mwenye dhamana yeye Jerry kazi yake ni kuwasilisha shida za wananchi

Asa makosa yake ni yapi au mi sielewi
 
Huyu si ndo kasema watu wa dasilamu mpewe tozo yenu kwenye mafuta ili jiji lijengwe. Mtajua wenyewe huko, sisi wa Tandahimba huku ni raha tu.
 
MMMMM yaani barabara HADI unayahurumia MAGARI yenye hayasemi lakini nayo yanaumia. Kuna sehemu nauli shs 1000 napo kulipata basi shugjuli. TOKA banania hadi kitunda relini mama YANGU. Toka kivule mwembeni kabla ya kuvuka mto mzinga Hadi frame kumi Hadi msongola , maweeeeeeeee. Njia panda segerea relini ambaa na HIYO barabara mpaka kivuko kipya ukonga, au nyoosha uende gmboto Hadi PUGU oh my god.twafaaaaaaa.
 
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.

Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
Huyo Asia wako ana mpunga?
 
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo.

Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie CCM! Sasa popote ulipo Asia Msangi jiandae kwenda Bungeni.
kazi kubwa ya Mbunge wako ni kuwawakilisheni Bungeni siyo Utarura au Utanroad.
 
Back
Top Bottom