Rufaa ya kina Sabaya yashindwa kuendelea leo Februari 20, 2023

Hivi kuna watu bila utu wala aibu wanamtetea Sabaya? Kweli?

Unajua kuna kitu kina itwa utu
Kesi yake imekaa muda mrefu sana kwa hiyo hasira tulizo kuwa nazo zimeondoka, ukimwangalia anavyo sota mahakamani na gerezani, huruma ya utu ndio inaanza kuingia na hasira zina ondoka, huo ndio utu!
 
kwa uelewa wangu mdogo wa jurisprudence (mimi sio mwanasheria) anyway huku kijijini kwetu
Kijijini kwenu wapi huko kuna mashauri ya rufaa na Civil Case na double jeopardy doctrine ?? Kijiji gani ??

Unaleta mizaha kwenye masuala muhimu ya haki jinai za raia. Don't be ridiculous.

Anyhow, Sabaya anastahili kuwa nje wakati wa rufaa.
 
Hili ni funzo kubwa sana kwa wajinga kama Sabaya.
Nadhani kuna wengine nao walistahili wawe rumande kwa ku abuse madaraka ikiwa ni pamoja na yule jaji aliyekuwa dpp anayeitwa Biswalo.
 
Inshort pale hakuna kesi ila kuna kundi la wahuni ambao wameunda mambo yao wakaenda kumdanganya Samia amtese kijana wa watu! Hakuna ata mwenye ushahidi wa kueleweka kwenye kesi zake wote ni kama wanaunda unda tu maneno na ndiyo maana mpaka leo hakuna kesi ameshundwa
 
Kijijini kwenu wapi huko kuna mashauri ya rufaa na Civil Case na double jeopardy doctrine ?? Kijiji gani ??

Unaleta mizaha kwenye masuala muhimu ya haki jinai za raia. Don't be ridiculous.

Anyhow, Sabaya anastahili kuwa nje wakati wa rufaa.
Kinachomuweka ndani Sabaya ni kesi nyingine ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana wala siyo hiyo ya Rufaa.
 
Hivi unajua hakuna kesi kafungwa mpk sasa?
Ndiyo yuko rumande kwa kesi nyingine ya uhujumu uchumi wala siyo hiyo Rufaa. Zipo kesi nyingine Takukuru ziko kwenye hatua za mwisho za upelelezi ili zifikishwe Mahakamani. Haponi aliacha alama nyingi sana katika ujambazi wake kwani aliaminishwa na yule mwovu kuwa atalindwa kwa lolote atakalofanya ili mradi tu Mbowe asurudi Bungeni. Aliyemponza yuko motoni yeye ataepuka vipi jela?
 
Kwaiyo hizi kesi sababu yake Mbowe kutorudi bungeni? Alafu kesi ya Ujambazi TAKUKURU anahusika vip? Labda nipe Elimu kidogo.
 
Back
Top Bottom