Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Umeandika feelings zako tu. Kwa hiyo umaamini ndege ya Canada iliachiliwa hivi hivi bila Hermanus Steyn kulipwa? Akili yako ni ndogo mno hata kisoda haitoshi.

Halafu mambo ya mikataba siyo kila mmoja ana uwezo wa ku ARGUE. Sasa hapa unataka AU iingilie kati, inaaanzaje? Yule Kichaa akivuruga nchi mlikuwa mnamshangilia na kumuita MZALENDO, saa hizi unatafuta huruma ya WTO.
Jiongeze kwanza kwenye maswala ya ‘contract law’ kabla ya kukurupuka. There are scores of learning sources for you to pick your poison.

Elewa hizo terms 👇 zipo kwenye mkataba bila ya ata wewe kuziweka.
……………
Implied terms of a contract

08 September 2021

What’s an implied contract term?
An implied term is a term that hasn’t been agreed expressly by either party, but that has been implied by the other terms of the contract.

The terms are unwritten and are presumed to be agreed to. They’re non-verbal and unwritten but still legally binding.
Terms may be implied into a contract in a number of ways:
  • In order to reflect the presumed intention of the parties.
  • By custom and practice.
  • By common law.
  • By statute.

How is an express contract different from an implied contract?​

In contract law, there are two types of terms that link to legally-binding contracts, express and implied terms.
Whilst an express contract is based on the words of a contract, an implied contract is based on the actions of those involved.
Express terms are normally outlined either verbally or in writing. Any overlapping implied term is voided once an express term is agreed.

Are implied terms legally binding?

Yes, despite not being expressly included in the contract, implied terms are legally binding and can hold as much weight as an express contract in the courts.
As they aren’t always clearly outlined, they can only be applied if they meet certain standards.

The courts will use different tests when assessing whether an implied term is valid.
  • Business efficiency tests: The implied term is used to make a contract workable. For example, without a term on ‘duty of mutual trust,’ the contract won’t work.
  • Officious bystander tests: The implied term is assumed ‘so obvious it goes without saying’. For example, not stealing from the workplace doesn’t necessarily need to be documented, as it’s an obvious act of misconduct.
  • Customs and practices: The implied term is placed in the contract because of workplace practices. For example, closing the business on public holidays.
  • Terms implied by statutes: Some laws automatically give employees minimum rights that can’t be ignored by employers. For example, statutory minimum notice.

Breach of implied contract elements​

The elements of a contract breach can lead to consequences like:
  • A condition: most important part of the contract that needs to be performed.
  • A warranty: a written term for promises or guarantees.
  • An innominate or intermediate term: terms that sit between a condition and warranty.
The guilty party can be found liable for damages and could face an injunction perform the contract terms.
Here are things to consider when faced with a breach of contract:
  • Does the contract exist: You need to be sure the contract exists (through an agreement, intention, and consideration).
  • Proof a breach has been made: You’ll need to provide evidence the opposing party didn’t fulfil their terms or did to an unsatisfactory level.
  • Proof the breach caused damages: You must prove the amount of loss caused, whether it’s financial or through business disruptions.
  • Does it need to be resolved in court: You need to decide whether the case needs to go through the courts. Cases can easily become expensive, so make sure this decision has been thought about well.

Compensation for breaching contract terms​

If someone’s found guilty of breaching an implied term of contract, the opposition could be awarded compensation. Before doing so, the court will decide whether:
  • The loss was directly caused by a contract breach.
  • The loss was caused by a reasonable person.
  • The person making the claim can mitigate their losses.
Implied terms in employment contracts | Peninsula UK

Umeona hapo sheria za nchi ni contract term ata zi sipo kuwepo kwenye mkataba, na sheria yetu inampa raisi mamlaka ya kufuta ardhi.

Sasa nani anaweza fidia kuna vigezo vya customs laws za land usage kilimo na lazima kuwe na ushahidi wa ardhi kuendelezwa kwanza.

Ni hivi huu upuuzi wa kutokuelewa mipaka ya adui wa ndani unapambane nae vipi na wapi mipaka yenu ilipo ili kumtwanga adui wa nje kwa pamoja kwanza; halafu ndio mrudi kwenye migogoro yenu ya ndani vina wa cost sana watanzania.

Hawa watu washawasoma hamna umoja kwa mambo ya kifala sana, wanajua kuna mijitu ya ovyo kama nyie mtakuwa upande wao.

 
Maamuzi ya serikali ya Magufuli ndio yalileta kesi hii
Tanzania ilifanywa shamba la Chato enzi za Magufuli
Maamuzi yapi yataje?kama hata Magufuli kuna aliyekumbana nayo yaliyosababishwa na nyerere,ndege ilikamwata south africa kisa nyerere alinyanganya Kaburu shamba bila fidia,na Magufuli akamalizana nao,akuleta visingizio kama nyinyi, Serikali ya Samia kila kitu kikigoma tunasikia aliyesababisha ni Magufuli.Upuuzi mtupu
 
Ndugu sheria ya nchi ni automatic clause term kwenye mkataba, kama sheria inasema raisi ana uwezo wa kufuta matumizi ya ardhi at whim hiyo ni contract term pia.

Na kwa Tanzania utadai fidia kama eneo tayari ushaliendeleza, ata huko mahakamani fidia za breach of contract inataka uonyeshe hasara ilipo. Sasa mtu ajaendeleza ardhi hiyo thamani ya fidia ina kadiriwa vipi.

Ni hivi serikali iseme inatosha huu mchezo hawa watu wanachofanya sasa ni kutuongezea umaskini, ni kulipeleka ili swala UN, WTO, EU jinsi ICSD inavyokosa credibility na inatumika kuiadhibu Tanzania kwa kesi za kijinga na nchi zinazo kamata mali.

This is becoming a serious violation of Tanzania trade rights.
Mkuu hujaelewa kwamba mkataba una clause ya arbitration nje ya Tanzania, ambapo kesi ilishapelekwa, na Tanzania imeshindwa, ndiyo maana ndege imeshikiliwa?

Unaelewa hayo?
 
Na enzi zake wakina lissu wangejitokeza kupiga kelele, lakini leo wameufyta nakuimba mapambio ya mama anaupiga mwingi.kuna siku ndugai alisema nchi itapigwa mnada,matokeo yake mkaanza kumnanga.
Bichwa lako alinakumbukumbu Lisu alionya na kusema wazi kuwa anachofanya Mhe rais magufuli kitalighalimu taifa.mafuvu mabovu Kama yako mkamtukana Lisu. Leo yale Yale ndiyo yanayotukuta. Mlifurahia hata kupigwa kwake risasi.
 
Inasikitisha sana. Kwa kasi hii ya kukopa bila utaratibu tutafika kweli?

Hapa tujiandae kupigwa mnada.
 
Mkuu hujaelewa kwamba mkataba una clause ya arbitration nje ya Tanzania, ambapo kesi ilishapelekwa, na Tanzania imeshindwa, ndiyo maana ndege imeshikiliwa?

Unaelewa hayo?
Hakuna anaebishia hilo na kwenye moja ya post ata ni mimi nimeelezea stabilisation clause is the norm kwenye FDI.

Sasa kwakuwa kesi imesikilizwa nje ya nchi aina maana specific contract terms both expressed and implied (including Tanzania statue laws) are ignored. Moreover breach and damages are based on investment evidence, hilo shamba lilikuwa bado pori wakati hati inafutwa sasa how they justify hiyo hasara.
 
Serikali inajijua ina majanga hata utapeli hawawezi? Tafuta Raia mmoja asajili kampuni iwe kwa jina mlilochagua, back door anakua conteolled kila kitu nanvyombo vya usalama atanufaika na percent yake kulingana na makubaliano, serikali inajifanya iko pembeni wala haihusiki na hilo shirika wakati wanajua kila kitu, inaonekana ni shirika la mzalendo mnapiga kazi dunia nzima bila wasiwasi maana mali ya mtu binafsi haitohusishwa na madeni ya serikali, huku mnakua mnaclear mambo yenu taratibu, dunia imejaa umafia sana na mnacheza na akili za watu tu, sema ndio vile
Ndugu guy ni mchongo
 
Inaumiza sana roho.

Hawa waTanzania wenzetu wanaokunywa maji ya tope huko vijijini haya hawayajui kabisa na wala ni kama hayawahusu!
 
Sasa kila siku mnakopa mnatarajia nini? Wakamate tu ikiwezekana waje wachukue tu na za ndani.
 
We chizi na wewe sijui unalopka maujinga gani hapa? Chuki zako kwa Raisi Samia zitakuua.

Yule dictator wenu ndiyo chanzo chanzo cha kukamatwa hii ndege. Walifuta kienyeji mkataba wa huyu mswisi 2016.
 
Back
Top Bottom