Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

USA ndio kipimo cha wema ? Makonda unamhesabia mabaya yake kwa kuwa alikua kiongozi hivyo alikua anajulikana.
Lakini kila mmoja tungejuana historia humu ndani kuna ambao ni chukizo mbele za Mungu kuliko hata Makonda
Hakuna jema alilofanya ndani ya jamii zaidi ya maovu na machukizo
 
Katika kipindi cha miaka 6 nchi ilipitia kipindi kigumu sana maana ilikuwa inategemea kiongozi ameota ndoto gani.
Majority hatukuona kipindi hicho kigumu ila vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji, mafisadi, wezi, walamba asali, majizi, wauza ngada mliiona kipindi kigumu cha 6
 
Hujafa hujaumbika na hakuna aijuaye kesho yake.

Msikilize vizuri huu ujumbe jinsi Makonda alivyo mpigia mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe magoti.

View attachment 2592447

"Nikamwambia Makonda ninyi mmelifanyia taifa hili makosa, mmetesa watu, mmefunga watu, mmeua watu, huyu Mwenyekiti ulikwenda ukampima mkojo ukamsingizia mambo ya madawa ya kulevya. Leo unakuja hapa unapiga magoti kumwamkia Mwenyekiti wakati hujachukua hatua yoyote taifa lione kwamba unasikitika, kwamba hauna furaha na yale uliyoyasababisha!"
Hawa chadema akili yao wanajua wenyewe. Wapi sugu kasema makonda alimpigia mbowe magoti? Tunajua hai ilikua njia kuu kupitisha madawa. Uwezekano ni mkubwa kwamba makonda alikua sahihi na njia aliyotumia makondo ilikaribia kufuta tatizo la madawa ya kulevya.
Makonda alikua mtendaji mzuri sana na alikua na mbinu sahihi.
Ona jinsi aliona tatizo la ushoga mapema na njia sahihi kupambana nalo. Leo maji yako shingoni ndio watu wameshituka na wanaona ushoga lazima kupambana nao 'head on' method ndio tutaushinda.
 
Back
Top Bottom