Tunapoelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 CCM wameacha kumsimanga Magufuli sasa wanamsifia. Kumetokea nini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,980
141,996
Fanya utafiti binafsi kwa Watu wanaotarajia kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa na Wajumbe utagundua wameanza kumsifia sana Hayati Magufuli.

Sijajua kwa uhakika nini kinaendelea lakini Ole wao wale Mawaziri waliomtukana sana nao waanze kujipendekeza 2025.

Naendelea na utafiti wa kung'amua kisababishi.

Ramadan kareem!
 
Fanya utafiti binafsi kwa Watu wanaotarajia kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa na Wajumbe utagundua wameanza kumsifia sana Hayati Magufuli

Sijajua kwa uhakika nini kinaendelea lakini Ole wao wale Mawaziri waliomtukana sana nao waanze kujipendekeza 2025

Naendelea na utafiti wa kung'amua kisababishi

Ramadan kareem!
Ni baada ya kutumiwa salamu kwenye uchaguzi wa Nec ya ccm .watukanaji wote walikuwa wa mwisho
 
Uzuri internet haisahau na viambatabishi vipo. Keyboard Ninjaz tupo na tutafanya mashambuliz makali sana.
 
Wanachokumbuka ni kuw walibebwa kwenye Chaguz zilizopta kwa mwaka huu hawajui n nn kitaendelea
 
Fanya utafiti binafsi kwa Watu wanaotarajia kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa na Wajumbe utagundua wameanza kumsifia sana Hayati Magufuli.

Sijajua kwa uhakika nini kinaendelea lakini Ole wao wale Mawaziri waliomtukana sana nao waanze kujipendekeza 2025.

Naendelea na utafiti wa kung'amua kisababishi.

Ramadan kareem!
wanasifuje? Toa mfano hata mmoja na uutungie sentensi moja! Ili ueleweke
 
Magu ni Shujaa aliyekufa akipambana Kwa ajili ya nchi yetu.

Kumtukana kamanda wa aina hiyo ni kujitafutia anguko la ghafula la kujitakia.
Jamani mwacheni kajifia mhuni yule. Hii ya kutisha watu haitaondoa ukweli kuhusu mapungufu makubwa ya huyo jamaa yenu.
Kama watu watakataa kunichagua kwa sababu ya mhuni huyo waache. Shauri yao.
 
Jamani mwacheni kajifia mhuni yule. Hii ya kutisha watu haitaondoa ukweli kuhusu mapungufu makubwa ya huyo jamaa yenu.
Kama watu watakataa kunichagua kwa sababu ya mhuni huyo waache. Shauri yao.
I love this
 
Nchi ya ajabu sana hii mtu anasifiwa kwa ukatili usioelezeka dhidi ya binadamu wenzake eti tu kajenga sijui barabara na makorokoro mengine na wizi juu,
Mbona hata makaburu wamejenga miundombinu kibao na hadi leo inaonekana ndio nchi iliyoendelea zaidi barani Afrika lakini kwa ukatili wao wakawa wanachukiwa karibu dunia nzima ukiacha nchi chache tu.
 
Fanya utafiti binafsi kwa Watu wanaotarajia kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa na Wajumbe utagundua wameanza kumsifia sana Hayati Magufuli.

Sijajua kwa uhakika nini kinaendelea lakini Ole wao wale Mawaziri waliomtukana sana nao waanze kujipendekeza 2025.

Naendelea na utafiti wa kung'amua kisababishi.

Ramadan kareem!
Wasipoichagua CCM basi wataichagua Chadema au ACT ambazo ni mwiba zaidi kwa "legase"
 
Back
Top Bottom